Wenda ndo yeye ameandaliwa kutuongoza Ana ufanano na aliyetangulia mbele ya haki Ila huyu anafuata sheria

Tanzania kwa sasa haihitaji tena kiongozi mnafikimnafiki.; mlaghai na aliyejaa hila tele.

Tunataka 'a straight/direct talker/actor'; bila ya kuweka kona kona kwenye anayo yazungumzia na kuyatenda.

Sasa hivi ni Tundu Lissu, na timu yake ya akina Heche na JJMnyika; na wengine wa aina hiyo.
 
Huyo ndio anatufaa hapa tanganyika
 
Yawezekana ni yeye wa awamu ya 7,

1. Hapendi Rushwa
2. Hana pupa ya madaraka kwanza misingi ifuatwe
3. Anafuata sheria
4. Hana Kona kona

5. Niliwai sema sehemu kwamba yawezekana mbowe uoga wake kuachia uenyekiti kuna madudu mengi anaogopa yasijulikane,

Mfano ya kule shambani hai, kimya kimya haya anayajua God lema ndo maana Lema baada ya press ya kampeni walisinyaa na kutishia watakaombishia anapiga penyewe sasa!

6. Ameweza yasiyowezekana na ataiweza CCM

Pitia pia

View attachment 3365208

Britanicca
Mimi nikajua unamuongelea Dr. Planning
 
Mkuu, habari za Ohio Street au ulikwishahama?

Huyu mheshimiwa,

1. CV imeshiba

2. Profile imetulia.

3. Walomjaribu wakati ule (wa Covid) waliona ana nyota kali.

4. Basilica approved.

5. Bado title yasimama kule WB kama mchumi mwandamizi.

6. 2015- 2020 umahiri wake ulionekana uchumi ulipaa kutoka 6 hadi 7% na nchi ikatangazwa kuingia uchumi wa kati na WB wenyewe (kwani watambua kazi zake).

Na mengineyo mengi tu khasa kutokana na mtandao wake wa kiuchumi na ubobezi wake.

Niishie hapo.
 
The Game Changer
 
Tatizo mzee muoga sana yule, hadi kukiri kwake hadharani vile kunatia sana mashaka...

Back
Top Bottom