Wenda ndo yeye ameandaliwa kutuongoza Ana ufanano na aliyetangulia mbele ya haki Ila huyu anafuata sheria

Wenda ndo yeye ameandaliwa kutuongoza Ana ufanano na aliyetangulia mbele ya haki Ila huyu anafuata sheria

Hatukatai kwa sasa Ila ya Mungu Mengi hapo July July ukashangaa anayeambiwa ameomba kustaafu analazimika kuongoza 😎

Britanicca
Ni kama nimethibitishiwa ndotoni huyu wa pili huyo wa mwanzo Sina uhakika
 
Hatukatai kwa sasa Ila ya Mungu Mengi hapo July July ukashangaa anayeambiwa ameomba kustaafu analazimika kuongoza [emoji41]

Britanicca
Weeee! Unajua watu tunakuamini kwa mengi hapa Jf, machache sana huwa yanaenda ndivyo sivyo bilashaka hili nalo ni mojawapo vinginevyo kuna watu wataanza kuandaa mvinyo mapema usije ukawachachia
 
Back
Top Bottom