Hukuelewa alichokiwasilisha mleta mada.Mkuu, habari za Ohio Street au ulikwishahama?
Huyu mheshimiwa,
1. CV imeshiba
2. Profile imetulia.
3. Walomjaribu wakati ule (wa Covid) waliona ana nyota kali.
4. Basilica approved.
5. Bado title yasimama kule WB kama mchumi mwandamizi.
6. 2015- 2020 umahiri wake ulionekana uchumi ulipaa kutoka 6 hadi 7% na nchi ikatangazwa kuingia uchumi wa kati na WB wenyewe (kwani watambua kazi zake).
Na mengineyo mengi tu khasa kutokana na mtandao wake wa kiuchumi na ubobezi wake.
Niishie hapo.
Huyo unayemwongelea wewe ni wa mpito tu (kushikilia kwa muda);, wakati mwenyewe akijiandaa kuchukua uongozi wa nchi hii.
Huyo unaye mwongelea wewe, kuna wakati nami nilimkubali. Lakini inaonyesha hana uti wa mgongo huyo. Atakanyagwa kila mahali huku akijigeuza geuzi kama pweza.
Tanzania kwa wakati huu hatuhitaji kiongozi wa aina hiyo.