Wenda ndo yeye ameandaliwa kutuongoza Ana ufanano na aliyetangulia mbele ya haki Ila huyu anafuata sheria

Yawezekana ni yeye wa awamu ya 7,

1. Hapendi Rushwa
2. Hana pupa ya madaraka kwanza misingi ifuatwe
3. Anafuata sheria
4. Hana Kona kona

5. Niliwai sema sehemu kwamba yawezekana mbowe uoga wake kuachia uenyekiti kuna madudu mengi anaogopa yasijulikane,

Mfano ya kule shambani hai, kimya kimya haya anayajua God lema ndo maana Lema baada ya press ya kampeni walisinyaa na kutishia watakaombishia anapiga penyewe sasa!

6. Ameweza yasiyowezekana na ataiweza CCM

Pitia pia

View attachment 3365208

Britanicca
Ni afadhali nichague jiwe kuliko kumchagua huyo dalali wa ushoga na kibaraka wa wazungu
 
Hatukatai kwa sasa Ila ya Mungu Mengi hapo July July ukashangaa anayeambiwa ameomba kustaafu analazimika kuongoza 😎

Britanicca
Wewe umekuwa Mungu wakuwapangia binadamu muda wa kuishi duniani? Kwa Makonda ulitudanganya wewe ni sawa na mbwa anayebweka tu!
 
Lissu haweze ongoza nchi hii anaweza kuongoza saccos ya Chadema tu.
 
Huyu mleta uzi sio wa kubishana nae anaelewa sana vitu, sasa hivi kaja mikito tofauti sana. Heri iwe hivi tuondokane na huyu Ajuza.
Huyo tapeli tu hana lolote July ni baada ya wiki mbili zijazo utamwona hataonekana hapa!
 
Unajua kuna mambo yanavoenda saiv yanafikirisha sana..Inaezekanaje Nchi ikaingia uchaguzini bila chama kikuu cha Upinzani?yani kibibi kishindanishwe na nani?Hvi inaingia akilini kweli?hata yy bibi akiwa anawaza anawazaje kwamba atatangazwa mshindi bila CHADEMA kushriki?Itanoga kweli?
Naamini kuna kitu Mungu anakiandaa kwa ustadi sana..

Kingine jaman oneni vijana saiv walivoamka kwa siasa?Saiv hadi mabubu wanaongea?mhh kuna kitu Kitatokea Tz

Kwani huyu si ndo bingwa wa kujipitisha bila kupingwa. Mzee wa fomu 1
 
Unajua kuna mambo yanavoenda saiv yanafikirisha sana..Inaezekanaje Nchi ikaingia uchaguzini bila chama kikuu cha Upinzani?yani kibibi kishindanishwe na nani?Hvi inaingia akilini kweli?hata yy bibi akiwa anawaza anawazaje kwamba atatangazwa mshindi bila CHADEMA kushriki?Itanoga kweli?
Naamini kuna kitu Mungu anakiandaa kwa ustadi sana..

Kingine jaman oneni vijana saiv walivoamka kwa siasa?Saiv hadi mabubu wanaongea?mhh kuna kitu Kitatokea Tz
Kwani lazima Chadema ishiriki? Tunavyama 19 vitashiriki na Katiba yetu hailazimishi chama kushiriki uchaguzi mkuu.
 
Yawezekana ni yeye wa awamu ya 7,

1. Hapendi Rushwa
2. Hana pupa ya madaraka kwanza misingi ifuatwe
3. Anafuata sheria
4. Hana Kona kona

5. Niliwai sema sehemu kwamba yawezekana mbowe uoga wake kuachia uenyekiti kuna madudu mengi anaogopa yasijulikane,

Mfano ya kule shambani hai, kimya kimya haya anayajua God lema ndo maana Lema baada ya press ya kampeni walisinyaa na kutishia watakaombishia anapiga penyewe sasa!

6. Ameweza yasiyowezekana na ataiweza CCM

Pitia pia

View attachment 3365208

Britanicca
WELL SAID
 
  • Dislike
Reactions: UCD
Alisha wahi kukutapeli ?
Humu ndani Kuna watu wako jikoni ndaani ndani kabisa sio kama wewe uliye dining room unasubiri ule kikiwa kimepoa
Shithole comment! Eti ndani ndani huyo tapeli anawatapeli nyinyi nyumbu.
 
Huyo tapeli tu hana lolote July ni baada ya wiki mbili zijazo utamwona hataonekana hapa!
Akili ya Mtu kama wewe inaonyesha dhahiri huna maana hata kwenye chama chako hujui sheria usiongea hovyo, mpaka leo upelelezi unafanyika utakuwa mjinga ukidhani kuna upelelezi unafanyika ni muda unapotezwa na kingine Wajinga kama nyie mpo wachache hamchoshi
 
Haya sisi wajinga tuko wachache subiri October 2025 huyo tahira wako Lissu kama atakuwa rais wa nchi hii.
 
Back
Top Bottom