Wenda ndo yeye ameandaliwa kutuongoza Ana ufanano na aliyetangulia mbele ya haki Ila huyu anafuata sheria

Wenda ndo yeye ameandaliwa kutuongoza Ana ufanano na aliyetangulia mbele ya haki Ila huyu anafuata sheria

"Upinzani unaamsha hisia"? Mkuu 'Smart Dude', nina kiasi fulani cha heshima kwako kutokana na hii michango unayotoa hapa, lakini nadhani huipi tafakuri ya kutosha.
Hata mimi nina heshima kubwa na wewe, ndiyo maana tumejipa muda wa kujadiliana. Muhimu zaidi Upinzani unatakiwa kuangalia angle nyingi - kuwa na watu sahihi majimboni - kuwa na uhakika wa kubatle kwa nguvu sana kwenye majimbo angalau 80% na kuwa na uhakika wa ushindi (yaani solid red kwenye majimbo angalau 20%) ku deatabilize angalau 20% ya ngome ya CCM huu lazima uwe makakati muhimu zaidi tena kwa muda mrefu. So far CDM imejengwa kwa 30 years lakini bado haijavunja Green wall ( hapa inahitajika nguvu zaidi)
Hivi wewe unawaonaje waTanzania! Kuwa ni watu duni sana wanaopokea tu kuamshwa hisia na wanasiasa?
watanzania wengi bado hawajui haki na wajibu wao - ninaamini hivyo. Ndiyo maana kina TAL et al wanapambana sana - bado thawadhani kuwa siasa inaamua hatma yao - bado hawajui wajibu wa Mbunge nk
Haya yote unay yaandika hapa ni maswala ambyo chama chochote cha siasa kinabidi kuyafanya; na CHADEMA wanayafanya hata kama wewe huyaoni. Hiyo ni programu ya chama chochote makini. Usitegemee CHADEMA wawe wanaimba tu "NO REFORM, NO ELECTION", na kubaki hivyo hivyo bila ya kuendelea kujijenga katika ngazi zote.
Ungekuwa ni mfuatiliaji wa maswala kama hayo humu JF, ungekuta kwamba miaka yote tumewahimiza CHADEMA wasipuuze waliko waTanzania, mitaani, vijijini n.k.
Kwa hilo siyo jambo jipya.
Hapa tunakubaliana na unakuwa msingibwa hoja yangu. Watu hao huwezi kiwabadilisha in ine day (itakuwa fluke) unahitajika mkakati sustainable
Jambo jipya ambalo wewe kwa sababu zako uzijuazo ni kutoona jinsi CCM yenyewe, pamoja na muundo wao mzuri inavyovurugwa na viongozi wao wa juu wanaotoka kabisa katika miiko ya chama hicho na kufanya mambo tofauti kabisa. CCM imekwisha jiundia anguko lake yenyewe; na ndiyo unayopaswa kuielekezea hayo "MATUKIO" unayoyazungumzia hapa.
Tunakubalina, wana shida nyingi - lakini wanaweza kuhold na ku contain diversity kwa kuwa wana dola pia. Ndito maana kiasi cha kusema wanaanguk hapa sikubalini. Wanaweza kubadilika; anguko lao lilitakiwa liwe 2015 lakini walifanya comeback ya kumleta JPM akalink up vizuri na wananchi licha y madhaifu yake kwenye democracy. Nawaona wakija na surprise choice tena 2030, nadhani wataleta mtu atakayeapeal kwa watu...
Mkuu 'Smart', fanya hivi:
Rudi nyuma katika chaguzi zote unazowasifia hapa CCM. Angalia kwanza idadi ya wapiga kura waliowapa CCM ushindi. Usiishie hapo, hata katika idadi hiyo angalia mizengwe mingapi iliyofanyika kabla, wakati, na baada ya upiga kura. Huo ushindi mkubwa unaowapa CCM ni kama wewe upo nchi nyingine tofauti kabisa na hapa tulipo sasa hivi!
Hili nakubaliana; 2020 kulikuwa na mizengwe zaidi; JPM hakuwa na sababu ya kufanya vile- ulikuwa ni uoga usio na sababu - hata 2025 CCM haitkiwi kufanya hivyo - bado namba zinawabeba sana hasa kwenye Ubunge kwa kuzingatia Majimbo mengi bado ni sold yellow.
Sijui ni sababu zipi zinakufanya wewe usielewe maana ya Samia Suluhu Hassan na GENGE lake wang'ang'anie kufanyika uchaguzi katika mazingira yaleyale unayo wapa ushindi wewe?
Kwa maana hiyo, nakuona hapo ukishangilia vile vile kama wao ushindi mkubwa uliopatikana katika uchaguzi wa serikali za mitaa 2024, au siyo? Na sasa unasubiri kuwapongeza kwa maandalizi hayo mazuri kwa ushindi watakaoupata Oktoba!!
Hapa ndio unachanganya nadhani; tatizo sio SSH, tatizo ni CCM na wahafidhina wake - na ndiyo maana ilimforce JPM kufany vile 2019 na 2020 which was un neasesary (wanatka kusifiwa na kila mtu) lakini hta kwenye uchaguzi haki nado namba zikonupande wao.. labda wanaogopa consequences za muda mrefu kwa maana ya kuwapa momentum wapinzani
Niseme tu kwamba unanishangaza sana!
Ipo siku CCM itaondoka, lakini sio 2025; upinzani bado unatakiwa kujiimarisha sana; kama nikivyosema awali kuhakikisha wanaongeza influence majimboni hiyo itaiweka CCM underpreasure zaidi. Utaona hta kwenye maeneo ambayo mgombea wa urais wa CDM anafanya vizuri ni yle yenye upinzani wa juu kwenye ubunge..
 
Hata mimi nina heshima kubwa na wewe, ndiyo maana tumejipa muda wa kujadiliana. Muhimu zaidi Upinzani unatakiwa kuangalia angle nyingi - kuwa na watu sahihi majimboni - kuwa na uhakika wa kubatle kwa nguvu sana kwenye majimbo angalau 80% na kuwa na uhakika wa ushindi (yaani solid red kwenye majimbo angalau 20%) ku deatabilize angalau 20% ya ngome ya CCM huu lazima uwe makakati muhimu zaidi tena kwa muda mrefu. So far CDM imejengwa kwa 30 years lakini bado haijavunja Green wall ( hapa inahitajika nguvu zaidi)
Lakini mbona unaendelea kukomaa na "Nadharia" isiyokuwa na uhalisia wowote katika mazingira yanayong'ang'aniwa na CCM?
Kwa nini hili hutaki kulielewa?

Wapinzani wataweza vipi hayo yote unayo shauri; wakati huo huo CCM wakiendelea kuhakikisha ni lazima washinde kwa kutumia nguvu?

Hivi huoni tunapopishana katika mjadala huu?

NORNOE ni moja ya juhudi wanazofanya CHADEMA kujaribu kusawazisha uwanja; wewe unaendelea kuwahimiza waachane na hilo, wajikite kutafuta wagombea wazuri. Pamoja na kwamba hilo ni jambo jema, lakini hao wagombea wazuri watashinda vipi wakati hata wagombea wabovu wa CCM wanahakikishiwa ushindi?
Ipo siku CCM itaondoka, lakini sio 2025; upinzani bado unatakiwa kujiimarisha sana; kama nikivyosema awali kuhakikisha wanaongeza influence majimboni hiyo itaiweka CCM underpreasure zaidi. Utaona hta kwenye maeneo ambayo mgombea wa urais wa CDM anafanya vizuri ni yle yenye upinzani wa juu kwenye ubunge.
Naona umewekeza pakubwa na huyo Samia Suluhu Hassan, ili abaki kwenye ngwe ijayo ili mmalizie mnayoyapanga.
Elewa tu kwamba, Samia ni lazima aondoke. Analididimiza taifa hili.
 
Lakini mbona unaendelea kukomaa na "Nadharia" isiyokuwa na uhalisia wowote katika mazingira yanayong'ang'aniwa na CCM?
Kwa nini hili hutaki kulielewa?

Wapinzani wataweza vipi hayo yote unayo shauri; wakati huo huo CCM wakiendelea kuhakikisha ni lazima washinde kwa kutumia nguvu?

Hivi huoni tunapopishana katika mjadala huu?

NORNOE ni moja ya juhudi wanazofanya CHADEMA kujaribu kusawazisha uwanja; wewe unaendelea kuwahimiza waachane na hilo, wajikite kutafuta wagombea wazuri. Pamoja na kwamba hilo ni jambo jema, lakini hao wagombea wazuri watashinda vipi wakati hata wagombea wabovu wa CCM wanahakikishiwa ushindi?

Naona umewekeza pakubwa na huyo Samia Suluhu Hassan, ili abaki kwenye ngwe ijayo ili mmalizie mnayoyapanga.
Elewa tu kwamba, Samia ni lazima aondoke. Analididimiza taifa hili.
Ndugu achana nae huyo Bado anafikri,it's bness as usual, haelewi kuwa mambobyameshabadirika mno
Na yajayo yanafurahisha
 
Yawezekana ni yeye wa awamu ya 7,

1. Hapendi Rushwa
2. Hana pupa ya madaraka kwanza misingi ifuatwe
3. Anafuata sheria
4. Hana Kona kona

5. Niliwai sema sehemu kwamba yawezekana mbowe uoga wake kuachia uenyekiti kuna madudu mengi anaogopa yasijulikane,

Mfano ya kule shambani hai, kimya kimya haya anayajua God lema ndo maana Lema baada ya press ya kampeni walisinyaa na kutishia watakaombishia anapiga penyewe sasa!

6. Ameweza yasiyowezekana na ataiweza CCM

Pitia pia

View attachment 3365208

Britanicca
Kuna huu, Tresor Mandala
 
Mwezi wa 7 ndio mwezi CCM inaenda kuonesha nguvu zake ilizonazo kwamaana ya Kampeni kuanza!!!!

Apo ndipo mtaelewa kwann CCM nichama kenye mipango yenye uwelekeo chama chenye Wanachama milion13+

Mwezi uwo wa7 ndio kipindi Wapinzani watachoka Hoi kuona CCM ikipeta na umati wawatu usiosimilika!!!

CCM itaonesha kwann nichama chamfano Afrika na pengine watabiri watajipa kazi ya kuongeza muda wa uhai wa CCM kitabaki kwa miaka mingi zaid.!!!!

Awa watoto na No+No watajificha kwa muda Badala yake wataamia Chauma kupiga upatu wa Wabunge wa Upinzani !!!

lkn kwenye Urais watakuwa wameelewa ni DK RAIS SAMIA SULUHU HASSAN TU.

Wapinzani wajitafute kwenye Ubunge na Udiwani tu sio zaid,, !!!

kwann ni Dk Rais SAMIA SULUHU HASSAN ukweli kafanikiwa sana kutekeleza Ilani ya CCM mikoa yote mpaka 2030 nchi itakuwa mbali zaid !!!!

Utalii wa ndani utakuwa sana baada kuchochewa na SGR vivutio vya Utalii kwenye miji inapopita TRAIN ya SGR !!!

viongozi usika wangechamkia kwa alaka wkt njia ya TRAIN inajengwa na wao wawe kwenye mipango ya kutangaza vivutio kwenye maeneo yao !!!

lkn pia kueka mazingira rafiki na Utalii kwenye ivyo vivutio SGR ikianza kupita mikoa yao ikute tayali wao wapo tayali !!!

kwaamaana SGR ikianza uko kutakuwa na Wasafiri wengi kuenda uko na awana seem maalum ya kutembelea.!!

Viongozi wa maeneo usika changamkeni vivutio sio kitu chenye kuharibika manake ni utunzaji tu ndio unaitajika !!

Utalii wa ndani unalipa zaid na nchi nyingi zinategemea Utalii wa ndani kuliko ata wa nje asa Ulaya Magharibi ata China na Ulaya Mashariki!!!

tumeona morogoro na Dodoma watalii wa ndani wamekuwa wengi sana fatizo iyo mikoa aikujiandaa na kupokea wageni au watalii wa ndani. Lkn wanajiweka sawa kila siku!!!

Nchi inadhidi kufunguka ikichochewa na Aman na utulivu uliopo.!!!

WATANZANIA wenzangu tuitunze Aman yetu inch yetu inaenda pazuri zaid kuliko uko tulipotoka!!!

Siasa isifanye tuangamize nchi yetu na atuna pakukimbilia tuwaeshimu viongozi wetu pamoja na kutofautiana kisiasa!!!

narudia tena Utekaji nijambo baya viongozi wetu pia wanachukizwa na Utekaji lkn Utekaji uwezi Kumbebesha mtu Fulani kwasababu za kisiasa au chuki na kiongozi usiemtaka ww!!!

Wapinzani mnakumbuka mlisema utekaji unalatibiwa ni RIP JPM sasa mnasema sio yeye !!

mnasema ni Rais wa sasa uko mbele mtaamia kwa Rais ajaye na uyu wasasa pia mtasema sio yeye!!!

Utekaji ni jambo mtambuka linaitaji kila mmoja kutoa Ushilikiano kuwabaini kina nani imekuwa ndio mazoea sasa ata ugomvi wa kugombea mapenzi watu wanataka kukomoana kwanjia ya kutekana. !!!

Mfano tumeona yule Dk wa Mtwara kijana wala sio Mwasiasa kabisa sasa unajiuliza katekwa na kuuwawa kwasababu zipi!

Apo ndio utaelewa watu utekana kwasababu atuzijui lkn wanasiasa w upinzani wanataka kunufaika kwakudai Sababu ni Siasa japo ajui chochote

Shida upinzani wanataka kutumia tatizo ili kisiasa kujinufaisha kisiasa.,,
Sijamaliza kusoma
Ila yajayo yanafurahisha mno
Hutaamini utakachokuaona ,kaa Kwa kutulia
 
Yawezekana ni yeye wa awamu ya 7,

1. Hapendi Rushwa
2. Hana pupa ya madaraka kwanza misingi ifuatwe
3. Anafuata sheria
4. Hana Kona kona

5. Niliwai sema sehemu kwamba yawezekana mbowe uoga wake kuachia uenyekiti kuna madudu mengi anaogopa yasijulikane,

Mfano ya kule shambani hai, kimya kimya haya anayajua God lema ndo maana Lema baada ya press ya kampeni walisinyaa na kutishia watakaombishia anapiga penyewe sasa!

6. Ameweza yasiyowezekana na ataiweza CCM

Pitia pia

View attachment 3365208

Britanicca
Hapa imepita? Makongodcrue
 
Makumbusho ishaweka tiki vizuizi ni machawa na mafisadi tu lakini mtashangaa wataanza ku rest one after another kwenye kampeni za urais ndio mtajuwa huyu mwamba ana back up kubwa Sana ya system ya nchi!!
Can I save this !?
 
Yawezekana ni yeye wa awamu ya 7,

1. Hapendi Rushwa
2. Hana pupa ya madaraka kwanza misingi ifuatwe
3. Anafuata sheria
4. Hana Kona kona

5. Niliwai sema sehemu kwamba yawezekana mbowe uoga wake kuachia uenyekiti kuna madudu mengi anaogopa yasijulikane,

Mfano ya kule shambani hai, kimya kimya haya anayajua God lema ndo maana Lema baada ya press ya kampeni walisinyaa na kutishia watakaombishia anapiga penyewe sasa!

6. Ameweza yasiyowezekana na ataiweza CCM

Pitia pia

View attachment 3365208

Britanicca
Ruksa kuota ndoto ila nakuhakikishia Tundu Lissu hatokuja kuwa Rais wa Tanzania. Wanaopania sana Tanzania huwa hawaupati uRais.

Ataishia kuoona Ikulu kwenye Television tu. Walikuwapo akina Lyatonga Mrema, Edward Lowassa, Bernard Membe, Christopher Mtikila etc waliishia wapi?
 
Hao uliowataja sio wa kuwalinganisha na Lisu.
 
Back
Top Bottom