Wengi bado hamjamuelewa Papa. Wengine tumeanza kumuelewa toka usiku wa manane, ndiyo maana tukafanya maamuzi haya

Mkuu huyu hajui huko st kayumba kulisha haribika kitambo sana,mimi nilikuta watoto wa kuanzia darasa la 4 wanapelekeana moto huko vijijini leo hii analaumu English medium schools,ni wakati wazazi tubadilike mtoto usipokuwa makini hata ukiwa unamfungia ndani ata haribika tu.
 
Hivi umeisoma ile taarifa ya Papa au umekurupuka tu kuandika huu uzi?

Nashawishika kuamini umekurupuka tu kuandika, kwasababu kama ungeisoma ule waraka majibu ya hoja zako ulizojitungia ungeyapata kule.

Taarifa ya Papa inasema, mapadri watatakiwa kuwabariki mashoga "under certain circumstance", mfano wa hii ni kama atakuwepo mgonjwa anayehitaji huduma ya kiroho, au vinginevyo, hapa Papa ameonesha moyo wa ukristu kwamba mkosefu hatakiwi kutengwa.

- Taarifa ya Vatican inaendelea kusema; but the Vatican said, blessings should not be part of regular church rituals, or related to civil unions or weddings. (kama hujui kiingereza sema utafsiriwe).

Zaidi ya yote, ile taarifa inasema kabisa; however Kanisa Katoliki linaendelea kutambua ndoa ya mtu mke na mtu mume kama mfumo rasmi wa kufunga ndoa hapa duniani, mpaka hapo utaona ulichoandika kuhusu dunia kugeuzwa juu chini ni ujinga wako tu.

Tatizo huku wengi hamtafuti ukweli toka vyanzo vya uhakika, mnasubiri kuletewa taarifa zilizochakachuliwa kisha mnakimbilia kuanzisha uzi, matokeo yake ujinga wako unaenda kuwaambukiza wajinga wengine wenye uvivu kama wako wa kutofuatilia toka vyanzo husika.

N.B.

Sijui kwanini Kanisa Katoliki huwa linafuatiliwa sana hapa duniani, hasa na wale wanaojidai hawalipendi!.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 

Shule Kongwe mnazo majumbani.
Idiot Box ( Tv ).
Glue Box ( Phone ).
Unaweza kuwa unachokiona au kuskia.
#mawazo vs Mawazo + Nia.
 
Hii sentensi haieleweki mkuu.

Watoto wanaofanyiana ushoga shule za kata haswa shule za chanika hali ni mbaya.
Ina maana shule za kata hazina haya matatizo?
 
Clarity on what the Pope said.

1. Blessings, not marriage: The Church understands blessings as ways to ask for God's grace and favour in various situations. This document clarifies that it's possible to bless same-sex couples without recognizing their union as marriage.

2. No change in marriage teaching: The Church's teaching on marriage as between a man and a woman remains unchanged. This blessing gesture doesn't endorse their relationship but shows God's love for all.

3. Blessings come in different forms: There are formal blessings, like at weddings, and informal ones, like at shrines. This document focuses on informal blessings, where anyone, including those in irregular relationships, can ask for God's blessing.

4. Blessings show humility and need for God: Asking for a blessing expresses trust in God and a desire for his goodness. Even if someone's situation isn't perfect, they can still seek God's grace.

5. Blessings have limits: While the Church can offer blessings to everyone, it can't bless anything contrary to God's will. So, this blessing doesn't legitimize same-sex unions but asks for God's guidance and love.

6. Discernment and respect: The document encourages pastors to use their judgment when deciding about such blessings. The setting and words should be clear to avoid confusion with marriage ceremonies.

7. Hope and openness: Ultimately, this document reflects the Church's desire to welcome everyone with God's love and mercy, even those in challenging situations. It's a step towards greater understanding and pastoral care.
 
Hakika mkuu

Maadili mema huanzia nyumbani ifike kipindi Mzazi wa kiume aseme na mtoto wake wa kike na mzazi wa kike aseme na kijana wake wa kiume
Tusiwaonee aibu watoto zetu
Tusemezane na watoto wetu maramara Kwa maramara

Kwenye swala la malezi ya watoto ni jukumu letu sote MAMA na BABA
 
Binafsi nimesoma shule za english medium, kila kitu ulichoandika ni ujinga ule ule wa kauli za kujipa faraja kwenye umasikini.

Sikumbuki siku yoyte katika shule za private mambo ya dini yakiingizwa wala ku affect masomo yetu, mitindo yetu ya maisha ilijengwa zaidi na maadili ya nyumbani na mitaani.

Tangu nikiwa na miaka 7 nilikuwa nachapa kiingereza vizuri tu, kanisani tukienda kukiwa na mchungaji anahubiri kwakiingereza naweza kuanza kutafsiri na watu wanashangaa tunaendana na mkalimani, kukiwa na muvi mimi ndio natafsiria wengine, MAAARIFA !!

Shule ya msingi kujifunza kwa kiingereza ni advantage, mkifika sekondari hakuna maswali ya kiswahili kwenye hesabu, sayansi, n.k. ni kiingereza tu ambacho hakina ugeni wowote tofauti na wale waliosoma za kiswahili.

Notes nilikuwa nazielewa kwa kiingereza inakuwa rahisi kwangu kuliko mtu ambae kaanza kukielewa kiingereza sekondari anasoma kwa kukariri atatumia system hii pengine mpaka chuo,

hii lugha ya kiswahili ilipaswa iwe ya kuongea tu sio kwenye suala la academics nje ya somo lake maalum.

Kuhusu mambo ya ushoga hata shule za za serikali haya mambo yapo sana tu na huchochewa zaidi na uonezi, sio ishu ya shule za private
 
Mkuu hapa unazungunzia english medium hizi za uswahilini au unazungumzia international schools?Maana hizi za uswahilini ni masomo tu ndio yanakuwa ya kizungu,ila hizo international schools hata historia na Jiographia wanafundishwa za ulaya,na mpk walimu wao ni wazungu au waafrica waliokulia ulaya...
 
Suala la Mahusiano na Ndoa za Jinsia Moja ni janga ambalo limezikumba nchi zote kabisa hapa duniani kwa sasa, hakuna nchi ambayo inaweza ikajinasibu kwamba imesalimika. Ni suala la muda tu, kinachotakiwa kwa sasa ni kila mtu kujiandaa kisaikolojia.
Kwahiyo wewe ukiolewa huwezi kuona ajabu na umeshajiandaa kisaikolojia?
 
Lengo la shetani ni kubadili kila alichoanzisha Mungu.

1. Sabato, ya Mungu ni jumamosi.
2. Ndoa, ya Mungu ni me na ke.

Mengine mtajaza wenyewe.
 
Nazungumzia za uswahili ambazo wa Tanzania wengi wanawapeleka watoto wao. Hizo International wameanza kufundisha mambo hayo toka enzi za Pontyo wa Pilato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…