Wengi hamtaamini lakini Simba na Yanga wote hawapenyi robo fainali, kwa sababu hii

Labda hao utopwinyo sisi tumevuka kibabe sana

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 

Vice versa is true
 
JF ukiwa na stress umetaka - Greatest Of All Time
 
me kiukweli usiniingize kwenye wingi!
Uto ijipambanie yenyewe buana na Simba isihusike.... me sipend unafiki buanaaaa... aaanguke2πŸ˜„
 
Kwa hyo upo na msimamo wako kwamba simba haendi robo fainali au tuendeleze bakora?
 
Tupunguze bangi za ukubwani Ni hatari kwa afya ya akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…