Los técnicos
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 3,012
- 2,637
Alisapoti tena kwa kupiga vigelegele na kugaragara.Hivi Paskali Mayalla alisema
Chochote kuhusu hili la Bashiru
Unauliza nini mkuu. Kabla ya kujibu ya Bashiru, ulipaswa kujua muuliza swali (Farhia Middle) alimtaka katibu ayatolee maelezo mambo gani ?!. Na hayo ndiyo majibu. Na ukweli ndiyo huo.Je, Unaweza kutueleza namna CCM inavyotumia jwtz na polisi kubakia madarakani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni kutetea wapuuzi na wahujumu uchumiNimesikiliza kwa umakini alichosema katibu mkuun CCM juu ya matumizi ya dola kuhakikisha chama kilicho shika dola, nimegundua kuna upotoshaji.
Alicho maanisha ni kutumia dola kwa maslahi ya chama dola ili kilinde maslahi umma.
Mfano kudhibiti rushwa, ufisadi, kuleta nidhamu kazini n.k . Na sio kukandamiza upinzani.
Nimesikiliza kwa umakini alichosema katibu mkuun CCM juu ya matumizi ya dola kuhakikisha chama kilicho shika dola kinabaki mada
Alicho maanisha ni kutumia dola kwa maslahi ya chama dola ili kilinde maslahi umma.
Mfano kudhibiti rushwa, ufisadi, kuleta nidhamu kazini n.k . Na sio kukandamiza upinzani.
Sikiliza mpaka mwishoMpaka mifano ya KANU na Zambia ameisema sasa tusichoelewa ni nini?
Nimesikiliza kwa umakini alichosema katibu mkuun CCM juu ya matumizi ya dola kuhakikisha chama kilicho shika dola, nimegundua kuna upotoshaji.
Alicho maanisha ni kutumia dola kwa maslahi ya chama dola ili kilinde maslahi umma.
Mfano kudhibiti rushwa, ufisadi, kuleta nidhamu kazini n.k . Na sio kukandamiza upinzani.
Nimesikiliza kwa umakini alichosema katibu mkuun CCM juu ya matumizi ya dola kuhakikisha chama kilicho shika dola, nimegundua kuna upotoshaji.
Alicho maanisha ni kutumia dola kwa maslahi ya chama dola ili kilinde maslahi umma.
Mfano kudhibiti rushwa, ufisadi, kuleta nidhamu kazini n.k . Na sio kukandamiza upinzani.
Ujumbe tumeshaupataSikiliza mpaka mwisho
Misukule ya Lumumba imeamua kujitoa ufahamuMpaka mifano ya KANU na Zambia ameisema sasa tusichoelewa ni nini?
Ujumbe tumeshaupata
Shida...Nyie misukule ya CCM bora mngeuchuna tu KM kaharisha hamuwezi safisha uharo kwa kuupulizia perfume.
Sent using Jamii Forums mobile app