Sawa alikuwa na mabaya yake lakini Watanzania wengi wanampenda kutokana ba uchapakazi wake na uzalendo wake"... chaguo la waTanzania wengi" wasiokuwa na upeo wa kutosha!
"chaguo", kati ya nani na nani; Samia Kikwete na Magufuli?
Akumbukwe kwa "uzuri", mabaya yake yasifikiriwe kabisa kwenye mizani ya kupimia hayo mazuri? Huko ni kupima kwa namna gani huko?
Huwezi kuelewa hadi uwe na uelewa."... chaguo la waTanzania wengi" wasiokuwa na upeo wa kutosha!
"chaguo", kati ya nani na nani; Samia Kikwete na Magufuli?
Akumbukwe kwa "uzuri", mabaya yake yasifikiriwe kabisa kwenye mizani ya kupimia hayo mazuri? Huko ni kupima kwa namna gani huko?
Kwa mfano , akili za darasa la saba"... chaguo la waTanzania wengi" wasiokuwa na upeo wa kutosha!
"chaguo", kati ya nani na nani; Samia Kikwete na Magufuli?
Akumbukwe kwa "uzuri", mabaya yake yasifikiriwe kabisa kwenye mizani ya kupimia hayo mazuri? Huko ni kupima kwa namna gani huko?
Hili halitotokea, alishasema mrithi wake 2030 atamchagua yeye mwenyewe. So tujiandae kutawaliwa na Ridhiwani kwa miaka 10 mingine. That's a sad realityJambo moja I can say for sure : Nchimbi au Majaliwa atakapoingia Madarakani, jambo la kwanza ni samia Kufunguliwa Mashtaka na kundi lake
Kwani maana ya "uzalendo" ni nini?Sawa alikuwa na mabaya yake lakini Watanzania wengi wanampenda kutokana ba uchapakazi wake na uzalendo wake
Hakuna mtu perfect lakini huwezi kumfananisha Magufuli na Rais yoyote yule Tanzania kwa kupendwa na wananchi
Umewadharau na kuwadhalilisha watoto wetu wa "darasa la saba" bila ya sababu kabisa!Kwa mfano , akili za darasa la saba
Kutoa go ahead kwa kuwaua wakanzania kisha kuunda tume kuchunguza ili kuwaje ikatokea mauaji 🤣
Je unadhani hizi ki akili za kawaida : huoni kuwa kichwani kuna minyoo ? Do you know gharama zinazotumika kwenye hii tume ya mchongo
Tume inaenda kuchunguza majibu na sio maswali
Samia na timu yake ni kizazi cha shetani na laana
Ila hawana muda
Siwezi kamwe kuwa mnafki hata siku moja.Hili halitotokea, alishasema mrithi wake 2030 atamchagua yeye mwenyewe. So tujiandae kutawaliwa na Ridhiwani kwa miaka 10 mingine. That's a sad reality
Angeachana na 'extraneous pomposity' na takataka nyingine za kipuuzi nami ningekuwa upande wake moja kwa moja."Old school" ambaye hakujuwa njia nzuri za kutumia hiyo 'old school' yake, ambayo aliivuruga kwa mambo ya kipuuzi ya kutafuta sifa binafsi, na kutumia maguvu zaidi kuliko akili na busara zinapohitajika.JPM alikuwa ni old school mentality akiamini kama wazawa watapewa uwezo basi kila kitu kinawezekana
Kwa sasa nchi ipo sold out
Kwa nini unanihusisha na upumbavu ambao sijawahi kuwa nao hata siku moja. Umewahi kunisoma popote humu nikiwa na fikra za aina hiyo unazozieleza hapa?Kwa mfano , mliambiwa Bandari wakipewa wageni gharam za ugomboaji zitapungua na kutakuwa na efficiency—— Vipi kuna gharama iliyopungua, kuna efficiency as compared na mwanzo ?
Yeah ila kuna tofauti ya unachotaka vs uhalisia. Hivyo tokea tarehe 29 nimegundua Rais ndio kila kitu yaani wapo tayari hata mfe watu million 2 ili mtu mmoja tu aingie ikulu.Siwezi kamwe kuwa mnafki hata siku moja.
Nazikataa moja kwa moja fikra hizi, na ninajuwa hata wewe ni kama inakulazimu tu kuziweka hapa.
CCM haitakuwepo tena kuwa na ujinga huo wa kuachiana na kuvuruga utulivu wa nchi hii.
CCM iko njiani kusambaratika.
Hao wote mnaowataja, akina Nchimbi na wengineo hawatakuwa na nafasi tena ya kuvuruga taifa hili.
Something new is going to emerge out of this wreckage.
Ungewajua wanasiasa wakubwa wa hadhi za urais namna wanavyoishi usingekuja na haya matusi dhidi ya awamu ya SSH.Kwa TZ, JPM was a prophet of our time , ni kama maji hata ukiyakataa utayanjwa.
Kwa uharamia uliotokea 29 baada ya mwendawazimu kupewa rungu, we learned kuwa JPM was a prophet of our time. Alikuwa mtume na alimaanisha mengi kwa watanzania.
Haya majambazi ya sasa yaliyoingiza ngono , uasherati na uhawara kwenye nchi wakanajisi kiti cha uraisi hadi kupelekea for the first Time in our history kuingiza nchi kwenye biggest bloodshed; . It is Such a shame kwenye nchi yetu rais kukalia kiti kwa kumwaga damu maelfu ya watanzania.
Nchi imenajisiwa for the first time in history, it took us 60 years kuijenga Tanzania aliyoiacha JPM, it Will take us 60 years kuitakasa nchi aliyoinajisi Samia
Jambo moja I can say for sure : Nchimbi au Majaliwa atakapoingia Madarakani, jambo la kwanza ni samia Kufunguliwa Mashtaka na kundi lake , hata kama akiwa amekufa basi mwili wake ufukuliwe na ufikishwe mahakamni na kujibu mashtaki ya bloodbath, kundi lake lote na familia yake yote ijiandae… it is never over. Chuki na laaana ni kubwa dhidi yenu na kundi lenu….. na haitoweza kumalizwa na ujinga unaofanywa na Mwigulu.
Utawala utakaokuja utawatafuta hata mkikimbilia dubai au saudia kama Idi amini, tunajua mnaanza kupeana ubalozi kwenye nchi za kiarabu ili mkaweke mazingira sawa ya kukimbilia huko na kuficha fedha mnazoiba : be assured mtafuatwa mtakapo kuwa.
Rest well Dr John Joseph Pombe Magufuli (PhD Holder), you had the first opportunity to let the devil go …..but ukataka suluhu which Costed your life …..Once enemy always enemy - Putin philosophy
najua your body is turning around kuona nchi ilivyonajisiwa, uliyemuamini alikusaliti na the saddest part ni wewe kujua kuwa ndio alikuwa ni kigogo mwenyewe being used na majambazi … The devil was just right to your nose….. never to mention kuwa we warned you Lissu hajawahi kuwa your enemy …….
ulikufa na watu wengi na nyuma yako, watanzania wakauliwa madhuluma…. Thinking they have won the game ……….
Time will tell
"...make amends..."?So the earlier we make amends with this reality, the better our mental health will be