Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,414
- 6,029
Endelea kuota ndoto.Hayo ya Trump yanawahusu wajomba zenu.
Tunachoshukuru tu ni kwamba hali hiyo itatupa mwanya mzuri wa kurekebisha hapa kwetu kwa kuwawajisha wahalifu wa hapa hapa.
Si ajabu hata mkakosa mahali pa kukimbilia, na ikawalazimu kwenda Uganda au Burundi. Maana sioni kwingine kokote mnakoweza kukimbilia, labda Comoro!
SSH alinyoosha wahuni waliotaka kumpanda kichwani.Nilishakueleza mara kadhaa; ngoja nirudie tena huenda safari hii itagonga akili ndogo iliyomo fufvuni mwako.
Samia ni mhalifu; hilo ndilo swala muhimu unalopaswa kulifahamu kabla ya mengine yote.
Swala la muda mhalifu kuwajibishwa, siyo yeye mhalifu, au wewe nguruwe wake mtakaoamua iwe lini.
Endeleeni kuishi hivyo hivyo kila sekunde inayopita hamjui kama mtabaki salama.
Usiniandikie upuuzi tena.
Na wasichokijua hao washenzi ni kuwa ile haikuwa Samia, Bali ni mfumo thabiti wa kiulinzi wa nchi yetu ndiyo uliozuia ujinga ujinga ule. Hata kama Raisi angekuwa bwana wao robo...oops, sorry, tundu lissu Bado wahuni wale wangeshughulikiwa na mfumo kama walivyoshughulikiwa siku ile.SSH alinyoosha wahuni waliotaka kumpanda kichwani.
Nawaambia siku zote kwamba JPM angekuwa hai mpaka dakika hii basi SSH angekuwa makamu wa Rais mstaafu.Na wasichokijua hao washenzi ni kuwa ile haikuwa Samia, Bali ni mfumo thabiti wa kiulinzi wa nchi yetu ndiyo uliozuia ujinga ujinga ule. Hata kama Raisi angekuwa bwana wao robo...oops, sorry, tundu lissu Bado wahuni wale wangeshughulikiwa na mfumo kama walivyoshughulikiwa siku ile.
Kwakuwa hawa haters wa Samia shida yao ni Samia basi wanajitoa ufahamu na kujifanya kumshambulia na kumzushia Samia. Watashindwa kama walivyoshindwa siku zote katika hilaczao dhidi ya huyu Samia....... The Mother of Modern Tanzania!
Mimi kazi yangu ni kukumbusha tu wewe na huyo mfugaji wako.Endelea kuota ndoto.
Anajutia sana hapo alipo; kwa kukosa akili na busara za kumwongoza.SSH alinyoosha wahuni waliotaka kumpanda kichwani.
Kujificha ficha kote; pamoja na ulaghai wa asili mlivyo navyo, mwisho wa siku inawawia vigumu kuendelea kujificha na kutoa hadharani uhalisia wenu ulipo..Nawaambia siku zote kwamba JPM angekuwa hai mpaka dakika hii basi SSH angekuwa makamu wa Rais mstaafu.
Kuna jamaa zetu wa huku Tanganyika kila kukicha wao wanaweka posts za kumdhalilisha Rais SSH uzuri ni kwamba Watanzania walishawagundua kwamba mipango yao ni ya kishetani haina nia njema na mustakabali wa Taifa hili hivyo waliamua kuachana nao mazima.
Kwanza ungejiuliza mtu mwovu kama huyu Samia aliwezawezaje kupenya na kuingizwa ndani ya chama na kufikia umakamu wakati hana sifa zozote za kuwa kiongozi?Nawaambia siku zote kwamba JPM angekuwa hai mpaka dakika hii basi SSH angekuwa makamu wa Rais mstaafu.
Wewe unajulikana, dini ndicho kilevi kinachokusumbua ndiyo sababu hujiondoa akili kichwani kila mara kiasi hiki.Na wasichokijua hao washenzi ni kuwa ile haikuwa Samia, Bali ni mfumo thabiti wa kiulinzi wa nchi yetu ndiyo uliozuia ujinga ujinga ule. Hata kama Raisi angekuwa bwana wao robo...oops, sorry, tundu lissu Bado wahuni wale wangeshughulikiwa na mfumo kama walivyoshughulikiwa siku ile.
Kwakuwa hawa haters wa Samia shida yao ni Samia basi wanajitoa ufahamu na kujifanya kumshambulia na kumzushia Samia. Watashindwa kama walivyoshindwa siku zote katika hilaczao dhidi ya huyu Samia....... The Mother of Modern Tanzania!
Ni wapi nimesema mimi ni taahira.
Hivi kichwani zinakutosha kweli.
Na wewe ni nguruwe kama hao wengine wanaofugwa na Samia Mhalifu?
Ulisesema mwenyewe 👆Ulitaka nisiwe "tofauti na taahira"?
Inakusaidia kitu gani wewe?
Usisahau kila siku huyo SSH anatimiza ahadi zilizomo kwenye ilani na mengine mengi anaongezea katika kuwahudumia watanzania.Mimi kazi yangu ni kukumbusha tu wewe na huyo mfugaji wako.
Hakuna njia mtakayokwepa kuwajibishwa kwa uovu mliowafanyia waTanzania..
Sina shaka yoyote hili limo vichwani mwenu na linawasumbua kila dakika.
Ongelea pia mema mengi anayoyafanya Rais SSH kila kukicha.Kujificha ficha kote; pamoja na ulaghai wa asili mlivyo navyo, mwisho wa siku inawawia vigumu kuendelea kujificha na kutoa hadharani uhalisia wenu ulipo..
Tanzania itainuka na itaendelea na safari yake ya kuwa taifa la kuheshimika miongoni mwa mataifa mengine baada ya kunajisi huku mlikoifanyia nchi yetu. juu yake.
Uovu mliolifanyia taifa hili ni lazima muwajibishwe
Samia ni mhalifu; hapo alipo hatimizi lolote lenye manufaa kwa taifa hili; badala yake nchi imepoteza kabisa nafasi ya kujijenga na kuwa taifa lenye heshima kubwa miongoni mwa mataifa.Usisahau kila siku huyo SSH anatimiza ahadi zilizomo kwenye ilani na mengine mengi anaongezea katika kuwahudumia watanzania.
Ukijikita kutazama mabaya tu kichwani mwako utaishia kuongea chuki tupu.
Hakuna jemna hata moja alilotimiza Samia.Ongelea pia mema mengi anayoyafanya Rais SSH kila kukicha.
Hakuna mradi aliyouahidi hayati JPM ambao ambao SSH hajautekeleza.
Pole mkuu kalamu, chuki zimejaa moyoni mwako hakuna wa kukusaidia.Samia ni mhalifu; hapo alipo hatimizi lolote lenye manufaa kwa taifa hili; badala yake nchi imepoteza kabisa nafasi ya kujijenga na kuwa taifa lenye heshima kubwa miongoni mwa mataifa.
Muda huu wa Samia mhalifu umepotea bure; na italazimu kuulipia nchi itakapotengemaa tena.
Tanzania haijawahi kuwa kwenye nafasi mbovu zaidi kama ilivyo wakati huu chini ya mhalifu Samia.
Ukiamua kumchukia hutakosa sababu za kuhalalisha chuki zako.Hakuna jemna hata moja alilotimiza Samia.
Ukiondoa huo unguruwe na kutafakari kama binaadam mwenye akili hutakosa kujuwa kuwa Samia hana hata moja la maana alilosimamia tokea awe madarakani.
Kila sehemu amevuruga, kutafuta tu fursa ya kujinufaisha na kuwatunza nguruwe kama nyinyi muweze kuja humu JF kila siku kuvuruga tu mijadala ya waTanzania..
Angalia hiyo Bandari; ambayo wewe Hamza Johari mmeikomaria ili mpate ulaji! Mapori anagawa kama mali yake binafsi. Hizi ni tabia za wapi. Sisi siyo hizo nchi za kiarabu mnapookota haya matakataka ya kujiamlia tu bila kushirikisha waTanzania, wenye mali yao.
Yote haya yatachambuliwa vizuri, na uhalifu wenu wote utaanikwa wazi na kuwajibishwa.
Reli/ Ndege vyote vimekwama. Sasa unataka tuzungumzie kitu gani?
Kukawa raslimali za waTanzania kwa wajomba?
Ndio maana ninasema machawa MNAPAKATWA, hivi kwenda mahakamani kusikiliza KESI ya Tundu Lissu kunahusikanaje na kumtukana rais?Wale wa Sri Lanka walikwenda mpaka ikulu wakiwa hawana silaha zozote za maana, wa kwetu waliiga akili zile.
Ukimtukana Rais wa Nchi unayatukana mamlaka yake akiwa mkuu wa dola ya Tanzania.
Unaweza kukutana na mabaya kutoka kwa watu usiowafahamu.
Mapovu hayawasaidii chochote nyinyi chawa wa Lissu. Huyo Lissu aliongea maneno ya hatari sana yenye sura ya kihaini.Ndio maana ninasema machawa MNAPAKATWA, hivi kwenda mahakamani kusikiliza KESI ya Tundu Lissu kunahusikanaje na kumtukana rais?
Nikuambie kitu! Hiyo ni dalili za kutumia kinyeo kufikiria
MNAPAKATWA