Nimeyala kwa mara ya kwanza Rwanda, yapo mengi sana huko
Hata wasambaa wayaita hivyo, mara nyingi yapikiwa kwenye mlenda, hasa hasa mlenda wa unga, unaweza ukalichemsha au kuchoma kisha ukamenya maganda ukalumangia kwa ugali. Yakikomaa vizuri watoto wanayala bila kupikwa wala kuchomwa.Magogwe kwa wapera matungusha kwa wachagga...hhahah
Haya matunda ni mengi sana huko maeneo ya uwemba njombe na hua tunaita matunda damu.
Ina maana haya matunda kuna sehem wanayaweka kwenye mboga?au kuyachoma na kuyatumia kama mboga?nilikua sijui kabisa.
Inaweza kuwa fursa kwa Wajasiliamali.
Hii ni fursa kwa Wajasiliamali.
Haya kwetu tunayaita matunda nyanya nadhani kuna tofauti ya kuyatambulisha kutokana na locality
mwaka juzi niliyakuta soko la Kiwira Tukuyu Mby njia panda ya kwenda Igogwe hospitali. Niliyakuta mengi tu, sijui miaka hii maana mazingira yanabadilika sanaHivi haya yapo kwa wingi? Sio kuwa yanatoweka??
Kwetu hayo magogwe ndio matunda damuHaya ndio matunda damu
Na haya ni magoghwe
Kweli ufipa yanaitwa matunda damu, nakumbuka enzi hizo unalipasua katika ya tunda unaweka sukari ili kupunguza uchachu wa hilo tunda ndio linaliwahayo ufipani tunayaita matunda damu sababu ndani ni mekundu kama damu
Mkuu.....usharudi na mzigo?Haya ndio matunda damu
Na haya ni magoghwe
fursa gani wakati ni kiungulia tuuInaweza kuwa fursa kwa Wajasiliamali.
Hii ni fursa kwa Wajasiliamali.