Wengi mnatokwa povu tu ila huu ndio ukweli wa kwanini SA imeamua kutetea haki za wapalestina kwa kufungua kesi ya mauaji ya kimbari dhidi Israel

Kwakweli sina cha kuamini kwenye huu mgogoro, naona kila muwamba ngoma anavutia kwake, hakuna ukweli , hakuna haki, kila mmoja anajaribu kuweka vineno na visentensi aonekane yuko sawa, aonekane ana haki dhidi ya mwingine.

Ona huyu mleta uzi, ametufungua macho kua kumbe SA analipiza kisasi, haijalishi Israel yuko sawa kwa anachopigania au laah! Ila as long as ni Israel na aliwafanyia fitna basi wao wako against nao.

Huenda walio na majibu sahihi ni wale walioanzisha huu mgogoro ambao leo hii hawapo na historia zao zimeshachezewa mno.

Mimi nasema wachapane mpaka apatikane mshindi.
 
Kama wanauchungu, saaana watume jeshi likasaidie Palestine
Iran ashasema hahitaji msaada wowote. Yeye mwenyewe ana uwezo wa kuzidhibiti nchi zaidi ya 4 zinazomsaidia Israel. Kuna US, UK, Ujerumani, Ufaransa nk zinazosimama upande wa Israel lakini Iran anasimama peke yake na kuwadhibiti vilivyo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Na leo nyumba ya Netanyahu imeshambuliwa Na drone. Netanyahu na familia yake wapo wanapatiwa matibabu kimya kimya.
 
Mshindi anaweza kupatikana, lakini kwa nguvu ya soda sio kwa nguvu zake mwenyewe. Sababu Israel ni nchi inayopewa silaha na nchi kibao zikiwemo Super Power kama vile US, UK, Ufaransa, Ujerumani, Uholanzi, Italy nk.

wakati Hamas haina silaha zaidi ya kuunga unga yenyewe marocket yake na bunduki za kuulia ndege.

Ila wamefanikiwa kupambana mwaka mzima bila kupatikana mateka.
 
Kuna mgogoro wa Sahara Magharibi na Moroko, mbona maustaadhi huu hua hamuuongelei? Tena upo ndani yaa bara letu tukufu ka Afrika.
 
SA bado wanajiporo vingi wavimalize kwanza. Huko kwingine wanataka airtime tu.
 
1. Utawala wa ANC ndiyo unawaunga Mkono Palestina, hususani Watu weusi wengi zaidi waliopo kwenye nchi hiyo ya Afrika ya Kusini, lakini siyo Waafrika Kusini wote. Raia Wazungu na baadhi ya Watu wa races zingine wengi wao hawaiungi mkono Palestina, Bali wanaiunga mkono Israel.

NOTE: Nchi ya Afrika ya Kusini kuna Watu wengi Sana wenye asili ya Wayahudi wa Israel, na ndio ambao wameshika hatamu kwenye sekta nyeti zote kabisa kwenye nchi hiyo. Mathalani, vinu vya Silaha za Nyuklia vilivyopo kwenye nchi hiyo vipo chini ya usimamizi wa Moja kwa Moja wa Wayahudi ambao ni raia wa nchi hiyo. Aidha, hata viwanda vingi vya kutengeneza silaha za kijeshi vilivyopo South Africa vingi vinamilikiwa na Wayahudi raia wa huko.

2. ANC Wana madaraka tu ya kisiasa katika nchi hiyo ya Afrika ya Kusini, lakini ukija kwenye suala zima la nguvu za kijeshi lipo chini ya Mamlaka ya Wazungu na Wayahudi ambao ni raia wa nchi hiyo, silaha za kijeshi na mifumo yake yote ya uendeshaji wa silaha hizo upo chini yao hao wazungu na Wayahudi.
 
Endelea kuota huku unatembea mkuu.
 
Umeandika ushuzi mkubwa mno

Hao magaidi wenu kuua mnaona ni sawa

Nendeni mkawasaidie Israel kamwe haitorudi nyuma mpk magaidi wote waishe
 
Mzee vita haina macho, yaani napigana na wewe ni eidha nishinde au nife halafu mwisho wa siku useme sijui nimesaidiwa au niaje.

Tumia mbinu zote ulizonazo, ndio maana kila pande ina wanapropaganda wao.

Kwangu mshindi ni mshindi tu.
 
Wewe umekatazwa kuwapa jicho sahara magharibi?
Wewe tafuta muda wa kuwapa jicho hao Sahara magharibi watu watachangia. Sio lazima usubiri mimi niandike alaf na wewe ndo uchangie.

Duniani hapa kila mtu na mtazamo wake. Hata mapacha wanaweza kufanana sura lkn wakatofautiana mawazo. Hivyo hautomwambia mtu kwamba kwanini unawaza hivi badala ya kuwaza vile. Hapo kwa Nyerere nimetaka kukuonesha mfano kuwa sio kila anaezungumza kuhusu Palestina ni muislam au anaezungumzia Israel ni mkristo. Huu mgogoro ni wa kisiasa kati ya anaedai kudhulumiwa ardhi, na anaedaiwa kudhulumu ardhi. Hivyo mambo ya kuingiza chembe chembe za udini katika uzi wangu hayafai.

Wewe kama unaona mimi najadili Palestina na wewe jadili Sahara Magharibi ili jukwaa liwe na mijadala totauti tofauti iliyoandikwa na watu tofauti.
 
Mzee vita haina macho, yaani napigana na wewe ni eidha nishinde au nife halafu mwisho wa siku useme sijui nimesaidiwa au niaje.

Tumia mbinu zote ulizonazo, ndio maana kila pande ina wanapropaganda wao.

Kwangu mshindi ni mshindi tu.
Ok
 
Umeandika ushuzi mkubwa mno

Hao magaidi wenu kuua mnaona ni sawa

Nendeni mkawasaidie Israel kamwe haitorudi nyuma mpk magaidi wote waishe
Netanyahu leo kakoswa koswa na drone. Bahati yake yeye ni familia yake walilala chooni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Umewakomesha leo Makafiri aisee.
 
Argue with reasons.
Endapo kama wewe unazo taarifa zingine tofauti na hiyo niliyoeleza Basi unapaswa iweke wazi hapa.
Be a Great Thinker, DON'T be a 'Great Sinker.'
Niweke nini tena wakati nimeshaandika kila kitu na watu wenye akili timamu wamechangia!!

Unataka niandike upuuzi kama wewe?
 
Hii haitaji uwe na DD Hii haitaji kuwa na hata D mbili bali hata mweye FF ni rahis sana kuelewa ila kuwa mlokole ni laan ndo wanashabikia hilo taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…