Wengi mnatokwa povu tu ila huu ndio ukweli wa kwanini SA imeamua kutetea haki za wapalestina kwa kufungua kesi ya mauaji ya kimbari dhidi Israel

Hapa umeandika kisomi kiana zuoni kabisa, kongole. post zote ungestick kwenye hoja utapata michango ya hoja, ukileta matusi ya rejareja ni hayo hayo yatakurejea. Mwl Nyerere aliongozwa na principles alipodhani pana dhuluma popote alikemea pasi kujali nani muhusika, South Rhodesia, Sahara Magharibi na Palestina, sasa nyinyi msioongzwa na kanuni mnachagua mgogoro wa kukemea.
 
Naona unazidi kujipakaa matope kichwani
 
Ndiyo umemaliza maelezo yako?πŸ€”
 
Ok mkuu nashukuru kwa kunielewa. Mimi sio mtu wa matusi hovyo hovyo. Hata ukisoma thread na comments zangu nilizoandika au ku comment ni vigumu sana kukuta nimemtukana mtu, labda mtu anianze au aniandikie mambo ambayo hayana maana kama ulivyoandika kule juu, hapo ndo hupelekea na mimi kuandika kama nilivyoandika.

Kitendo cha kuniita mimi ustadhi wakati hauijui imani yangu kwanza kimenikasirisha. Unawezaje kukimbilia kumwita mtu ustadhi, mchungaji, padri nk wakati hauijui imani yake?

Obvious kuna watu humu wanajulikana kwa imani zao, hivyo ukimwita ustadhi, shehe padri, mchungaji nk kulingana na imani yake hapo hamna tatizo. Lakini sio mtu humjui hakujui unakimbilia tu kumwita ustadhi kisa ameandika kuhusu Palestina. Wakati huo huo kuna watu wanaandika kuhusu Israel lakini sijaona sehem hata moja katika comment ukiwaita wachungaji au kapadri. Yani wewe umekimbilia kuni attack mimi nilieandika kuhusu Palestina tu peke yangu.

Lakini kingine ni ile kutaka mimi niandike kuhusu Sahara Magharibi wakati hata wewe unaweza kuandika. Tena umetoa ushauri wako kwangu tu, halafu ukawaacha wafrika wengine wanaoandika habari za Israel. Hapo ndo nikahisi kuwa wewe umeandike vile kwa sababu zako za kidini tu, kwa sababu kama ni ushauri kuhusu mambo ya Afrika kama Sahara Magharibi nk basi ushauri huo ungewapa na wale wanaoshinda hapa kuandika kuhusu Israel nk.
 
Hii haitaji uwe na DD
Hii haitaji kuwa na hata D mbili bali hata mweye FF ni rahis sana kuelewa ila kuwa mlokole ni laan ndo wanashabikia hilo taifa
Asante kwa kuelewa andiko mkuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sawa mkuu, nakutaka radhi kwa kukukwaza, tuendelee mbele kama waungwana.
 
Upo sawa
 
Sawa mkuu, nakutaka radhi kwa kukukwaza, tuendelee mbele kama waungwana.
Shukran ndugu yangu, tuko pamoja. Na mimi pia naomba unisamehe kwa kukukwaza ndugu yangu. Halikuwa kusudio langu.

Tusimame katika utaifa wetu ili kuijenga nchi yetu πŸ™πŸ™πŸ™
 
Shukran ndugu yangu, tuko pamoja. Na mimi pia naomba unisamehe kwa kukukwaza ndugu yangu. Halikuwa kusudio langu.

Tusimame katika utaifa wetu ili kuijenga nchi yetu πŸ™πŸ™πŸ™
Poa mkuu
 
SA Wanampigia mbusi (mbuzi) gitaa
Kiboko ya Israel ni Iran tu. Tumia akili kujiuliza kuwa kama nyumba ya Netanyahu na kambi za jeshi zinashambuliwa, je Iran wakisema waamue kushambulia nyumba za raia ambazo hazina ulinzi hali itakuaje?
 
Hizi kesi huwa ahzina maana yoyote, Rais wa Sudani alifunguliwa kesi, akawekewa ile wanted na ICC lakini hamna chochote. Tizama Putin ICC wanamtafuta wakati wanafahamu alipo, lakini yupo na vita inaendelea.

Kuna wale wa suni na Shia wa hapa Mtambani wao walikuwa wanashangilia sana siku ile HAMAS waliposhambulia Israel. Wakamshangilia sana Hassan Nasrallah, leo wamepumzika kama mashabiki wa SIMBA, mikwara miingi lakini wanaondoka vinywa wazi.
 
Kiboko ya Israel ni Iran tu. Tumia akili kujiuliza kuwa kama nyumba ya Netanyahu na kambi za jeshi zinashambuliwa, je Iran wakisema waamue kushambulia nyumba za raia ambazo hazina ulinzi hali itakuaje?
Kwahiyo wewe ndiyo unaakili sana kwakuandika upupu huu, Wapi huko kuna kiboko ya Israel wakati Israel anawakosesha usingizi, Iran kitu gani hapo!

Iran walivyo na roho mbaya wangekuwa na uwezo Israel wangekaa pale ? Uwezo wao kufuga ndevu ili watu watishike na kuogopa
 
Ha ha ha mwingine eti kiboko ya Israel ni Iran hivi wale Wairan walivyo na roho mbaya vile wangekuwa na uwezo Israel ingekaa pale si wangekuwa walishawamaliza, wao wanachoweza nikupigania wakitokea vichochoroni tu
 
Pale mjinga unapotumia muda wako kijinga kuandika ujinga. Kati ya Iran na Israel ni nchi gani ambayo kila siku inashambuliwa?

Israel haiwezi kupita week bila watu kusikia ving'ora na kukimbilia mashimoni. Yani daily waisrael wanaishi kwa mashaka. Lakini huko Iran kuna watu hata mlio wa baruti tu hawaujui. Wanaishi kwa amani bila kukimbia kimbia kama waisrael wanavyokimbia kukwepa makombora.

Hata Netanyahu na familia yake leo wamekoswa koswa kuuwawa. Bahati yao wanalala na kushinda ndani ya mahandaki kukwepa kipigo cha makombora na drone za hezbulah zilizotengenezwa Iran. Halaf kama Iran ingekuwa na roho mbaya kama wayahudi ya kukimbilia kuuwa watu hovyo basi wangekuwa washauwa waisrael wengine sana maana nyumba zao hazina ulinzi wowote. Ila kwa vile Iran wana roho za utu basi wanadili na maadui zao ambao ni jeshi na viongozi wa Israel. Fikiria kama nyumba ya Netanyahu na kambi za jeshi zinazolindwa na THAAD pamoja na Iron Dome zimeshambuliwa bila kizuizi, je ingekuwa shambulizi la kulenga nyumba za raia ambazo hazina hiyo mifumo ya ulinzi hali ingekuaje.

We mjinga eti Iran walivyo na roho mbaya wangewamaliza waisrael. Mbona wayahudi walivyo na roho mbaya walishindwa kuwamaliza waafrika kusini weusi waliokuwa wanatetea ardhi yao, uhuru wao na haki yao?

Yani kwako wewe myahudi alivyokuja kuua waafrika kusini waliokuwa wanapigania uhuru wao, haki yao, nchi yao na maisha yao unaona sawa tu. Lakini na wao wauaji (wayahudi) wakikutana na wababe wenzao (Iran) wakaanza kuangamizwa kama walivyowaangamiza waafrika kusini unakuja kulalamika.
 
Tanzania kuna kabila kazi yake kubwa ni kukwapua ardhi za watu kwa kila njia, Hao ndiyo watetezi wakubwa wa mazayuni.
 
Ha ha ha mwingine eti kiboko ya Israel ni Iran hivi wale Wairan walivyo na roho mbaya vile wangekuwa na uwezo Israel ingekaa pale si wangekuwa walishawamaliza, wao wanachoweza nikupigania wakitokea vichochoroni tu
Wewe kweli kiazi.. Hivi kuna kombora linalopita kichochoroni? Makombora yote huwa yanapita juu na Israel imeshindwa kuzuia wala kulipiza. Sababu wanajua wakithubutu kulipiza watapigwa zaidi ya kipigo cha mwanzo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…