Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Ifike mahali tuanze kujiuliza hivi ni akili kumiliki simu janja zaidi ya moja tena huku kila moja ikiwa na line 2? Yaani line 4 kwa wakati mmoja?
Hivi hatuoni huu ni uwendawazimu kabisa hasa simu hizo zinapkuwa ni kwa matumizi ya kawaida tu kama vile kuwassiliana na ndugu, jamaa na marafiki?
Unatembea na simu mbili(line 4) halafu ndugu yako kijijini hata kilo ya unga kwake ni mtihani!!
Tunalia na tozo, ila hatujui kumiliki line 4, ni zaidi ya tozo za Samia.
Miaka ya nyuma, ilikuwa ni sifa kutembea na video cassette barabarani, ila siku hizi hata hizo video cassette kuzibeba tu ni shida. Hivyo, hata hisi smartphone, kuna wakati unakuja hata kubeba moja itakuwa yataka moyo.
Sielewi kabisa tunawaza nini kutembea na masimu makubwabwa zaidi ya moja.