Wengi tunapenda kumiliki smartphone mbili na wakati mwingine hata zaidi ya mbili. Je, huu si uwendawazimu?

Wengi tunapenda kumiliki smartphone mbili na wakati mwingine hata zaidi ya mbili. Je, huu si uwendawazimu?

Alafu mwenye masimu hayo awe mwanaume [emoji23][emoji23]

Anajiona mjanja[emoji23][emoji23][emoji23]

Kumbe mshamba...
 
Tena ni zaidi ya wazimu. Unaweza kuwa na line hata sita zikatumia simu moja tu, si zote unazi forward kwenye namba unayoitumia wakati huo.

Ni ujinga na wehu juu. Ukikutana na jitu kama hilo liite jingwehu.
Samahani mkuu nipe kidogo elimu jinsi ya ya kuforward kwenye line moja inayotumika
 
Back
Top Bottom