DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Inategemea na shughuli za MTU sio kila mtu ameajiriwa kwa wahindi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ushamba. Kama huna matumizi makubwa ya simu nyamaza.Ifike mahali tuanze kujiuliza hivi ni akili kumiliki simu janja zaidi ya moja tena huku kila moja ikiwa na line 2? Yaani line 4 kwa wakati mmoja?
Hivi hatuoni huu ni uwendawazimu kabisa hasa simu hizo zinapkuwa ni kwa matumizi ya kawaida tu kama vile kuwassiliana na ndugu, jamaa na marafiki?
Unatembea na simu mbili(line 4) halafu ndugu yako kijijini hata kilo ya unga kwake ni mtihani!!
Tunalia na tozo, ila hatujui kumiliki line 4, ni zaidi ya tozo za Samia.
Sielewi kabisa tunawaza nini!!
Hahahaaaa!!!Acha ushamba. Kama huna matumizi makubwa ya simu nyamaza.
Simu moja nimeweka line mbili za mawasiliano. Na ni kwa sababu maalum kulingana na mazingira ninayoishi. Sehemu moja inashika voda tu na sehemu nyingine halotel tu.
Simu nyingine nimeweka line ya mpesa na halopesa. Sababu ya kutumia smartphone ni uwezo wa kutunza sms nyingi.
Wendawazimu wangu uko wapi hapo.
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Nakaziamkuu anayemiliki smartphone mbili kaleta athari gani kwenye maisha yako ya kuchunguza na kuumia kwa mambo yasiyokuhusu?
Na mimi nimemshangaa sana mwanaharakati wetu yaani simu zilivyo nyingi hizi second user mpaka za laki tatu au mbili unapata Leo roho inamuuma...kwa hiyo je na yeye amavyomiliki wanawake michepuko tumwuonajeSwali la ajabu kwa iyo kumiliki smartphone mbili imekua nongwa watu bhana mmekosa vya kupost
Tena kila simu itakuwa na line 2 jumla 8 sijui atajiitaje hapo 😀Kwako ni uwendawazimu maana huna uwexo wa kumiliki smartphone 2,siku ukimiliki pesa utanunua hata simu 4 kila simu itakaa na line yake
Ndio!😄😄na anazishika zote mkononi.
Uko sahiihi kabisa.Kwa kweli huu ni uwendawazimu na ulimbukeni. Inapendeza zaidi uwe na smartphon moja na simu ndogo moja hapo sawa
[emoji28][emoji28]Tukimiliki smartphone na kiswaswadu pia kuna ubaya mkuu