Mzingo JF-Expert Member Joined Nov 2, 2014 Posts 4,729 Reaction score 10,500 Aug 26, 2023 #41 Je wenye gari zaidi ya moja?
Donatila JF-Expert Member Joined Oct 23, 2014 Posts 7,772 Reaction score 22,598 Aug 26, 2023 #42 Alafu mwenye masimu hayo awe mwanaume [emoji23][emoji23] Anajiona mjanja[emoji23][emoji23][emoji23] Kumbe mshamba...
Alafu mwenye masimu hayo awe mwanaume [emoji23][emoji23] Anajiona mjanja[emoji23][emoji23][emoji23] Kumbe mshamba...
Kijungu Moto JF-Expert Member Joined Jun 19, 2023 Posts 307 Reaction score 491 Aug 26, 2023 #43 FaizaFoxy said: Tena ni zaidi ya wazimu. Unaweza kuwa na line hata sita zikatumia simu moja tu, si zote unazi forward kwenye namba unayoitumia wakati huo. Ni ujinga na wehu juu. Ukikutana na jitu kama hilo liite jingwehu. Click to expand... Samahani mkuu nipe kidogo elimu jinsi ya ya kuforward kwenye line moja inayotumika
FaizaFoxy said: Tena ni zaidi ya wazimu. Unaweza kuwa na line hata sita zikatumia simu moja tu, si zote unazi forward kwenye namba unayoitumia wakati huo. Ni ujinga na wehu juu. Ukikutana na jitu kama hilo liite jingwehu. Click to expand... Samahani mkuu nipe kidogo elimu jinsi ya ya kuforward kwenye line moja inayotumika