Wengi wanamkubali Bob Marley ila Mfalme wa Reggae duniani ni Lucky Dube

Ushazisikiliza za dube...? Hatari sana mkuu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lucky dube n zaid ya Bob Marley
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ki ukwel dube kwangu n legend Aisee nazielewa sana nyimbo zake
Sent using Jamii Forums mobile app
 
ushaanza kunitia mashaka na uwezo wako wa kufikiri ulichoandika hapo tayari nshakitolea majib asa cjui unauliza nn
low IQ huez huelewa mziki wa bob kamwe
sorry for dat

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ushaanza kunitia mashaka na uwezo wako wa kufikiri ulichoandika hapo tayari nshakitolea majib asa cjui unauliza nn
low IQ huez huelewa mziki wa bob kamwe
sorry for dat

Sent using Jamii Forums mobile app
hoja zimekushinda umebaki na kichaka cha low IQ,sijui ya kwako ulipimwa na nan!!!!

ukiulizwa hapo hata IQ ni nini,utabaki unajamba jamba tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyimbo za Dube zitaishi milele,zinaeleweka na watoto, vijana na wazee, bob ni kwa wale wanaijifanya wana high IQ na wanaojiita wanafalsafa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kitu kinaitwa "kujifanya" mzee .huwez linganisha robert nesta marley na yeyote yule.hata mjukuu wako akizaliwa miaka 70 baada ya leo akiambiwa reggae kitu cha kwanza kitakachomjia ni bob marley .that man is Reggae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Three little birds
Bad card
Coming from the cold
Redemption song
Crazy baldhead
Concrete jungle
Jamming.

Ukisikiliza midude hiyo lazima ukubali kuwa Bob hana mpinzan.

Lucky dube mweke na alpha blondy au hata na Jr gong(damian marley) wako level moja tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uzi unachekesha sana kila nikiusoma eti Mfalme wa Reggae DUNIANI ni Lucky Dube, lol

Sijui kwann watu wavivu kusoma hata historia tu.

Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.
 
Hata RFA walipambanisha ila kwa ushamba wa wackilizaji wakampa ushindi luck dube, nilishangaa sana. Bob mwisho wa matatizo. Dube mtoto mdogo akalale.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani ile Jamaican English ni tatizo kwa wengi maana ile accent yao ni habari nyingine aisee.

Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.
 
Hii thread imejaa vichekesho kibao, mi ndio maana nilisema hapo juu, kama hujui Reggae na Rasta nyamaza tu. Huko Duniani wakijua tunajadili hii kitu humu tunaweza kuchekwa watanzania wote. Yaani unamfananishaje Prophet na follower? Huu ni ukosefu wa adabu.
 
Hivi tangu lini watu wa Reggae wanashindanishwa kama akina alikiba na diamond?

Unaposema Dube ni zaidi, kivipi? Message, beats au nini hasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
100%

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…