Wengi wanamkubali Bob Marley ila Mfalme wa Reggae duniani ni Lucky Dube

Kwani lini senzo akikufa ?


Watanzania vichwa vyenu vimejaa maji
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha upumbavu wewe chizi senzo ni mzima wa afya mjinga wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpumbavu mwenyewe na ukoo wenu! kwani nani amesema Senzo amekufa! Najua Senzo hakufa na alikuwa mafivhoni na chanzo cha kujificha ni kutokana na jamaa huyo kuhusishwa kutaka kumuua. Acha ujinga wa kupitia post moja

"ᴺᵒ ⁱᵐᵖᵒˢˢⁱᵇˡᵉ ᵗʰᵉ ʷᵒʳᵈ ⁱᵗˢᵉˡᶠ ˢᵃʸˢ ᴵ'ᵐ ᵖᵒˢˢⁱᵇˡᵉ"
 
Then angalia hii ni post ya lini? Kunguni wewe!
Acha upumbavu wewe chizi senzo ni mzima wa afya mjinga wewe

Sent using Jamii Forums mobile app

"ᴺᵒ ⁱᵐᵖᵒˢˢⁱᵇˡᵉ ᵗʰᵉ ʷᵒʳᵈ ⁱᵗˢᵉˡᶠ ˢᵃʸˢ ᴵ'ᵐ ᵖᵒˢˢⁱᵇˡᵉ"
 
We ni mpuuzi tu senzo alikaa nje ya muziki kwasababu ya issue ya sauti ilikuwa haitoki mbwa wewe wa kichina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alpha blond?!

Siafiki kabisa.Hawezi kuwa level za Bob
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha ha kweli wewe hujui reggae hata jinsi ya kuiandika, Lucky Dube mwenye melody moja kwenye kila nyimbo, mwenye kupayuka na beat zinazofanana na zenye vinanda kama nyimbo za kanisani. Wewe mshamba sana hujui historia ya reggae na ni muziki wa aina gani, hujui kiingereza ndiyo maana unafikiri nyimbo za Bob hazina ujumbe. Kila mwimbo wa Bob una ujumbe, alitumia lugha ya ndani ya kiingereza na matamshi yake ya kijamaica yamekuacha. Lucky DUbe nyimbo zake za kulia tu, wala sio maarufu duniani kama Bob, huwezi kufananisha hata kidogo. Kwenye dunia ya root reggae ya kweli Lucky DUbe is nothing.
 
Sasa kama ulishampitisha Lucky Dube wako kama mfalme wa reggae duniani huu Uzi wa nini sasa? Kwanini hutaki challenge?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
What a nice piece!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msilete ujuaju mwingi wazee,mambo ya root sijui na sweet raggae hayo wengine hata hatujui ia haitufanyi kuweza kuwalinganisha na kuwatofautisha hawa jamaa kwa uwezo,Kwani mpira wa Maradona na Pelé ilifanana, Je Messi na Ronaldo mpira wao unafanya na?Lakini Mbona daily tunawalinganisha yupi ni bora? Tukija kwenye mada mimi siyo mjuaji sana wa mziki wa rege ila kwa kusikiliza ujumbe na amsha ya nyimbo kwangu Lucky Dube ndiye bora.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ndio tatizo la watu wengi Uzi wanaukuta njiani anaku qoute hangalii nyuma comment imetokana na nini
 
Mleta mada atakuwa amejifunza mengi na sasa hivi amejichimbia mahali anapitia albam moja baada ya nyingine ya miamba hii ya Ragge duniani. Soon ataleta majibu tofauti hapa,

enjoy kitu cha "Ambush in the night"
 
Nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…