Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Kwakweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna ule wimbo wa I GOT YOU BABE ali perform uwanjani,ilikua ni noma aiseee.
[Sana aise ilikuwa hatari]
Ngoja niutafute huuNyimbo nyingi za lucky ukizisikiliza zina hisia sana yan alikuwa anaimba kwa hisia kwel mfan remember me,slave,usizi, back to my roots hii back to my roots aliiperform 93 kuna clip YouTube ile permfomance yake kuanzia upigaji vyombo mpaka saut ilikuwa balaa mim nyimbo za bob azinigusi kabisa yan japo alikuw vizur ila ni vile kila mtu na anaemkubali. Kuna moja hiv ya lucky inaitwa hands that gives ina message nzur sana
Ungesikiliza na back to my root..au born to suffer..Kwa kujiridhisha nimesikiliza nyimbo mbili za bob
1. Jah live
2. Bad card
Na mbili za lucky dube
1. Remember me
2. It's not easy
Na nimejikuta zote mbili za bob nikiishia katikati ila za lucky dube nimezisikiliza hadi mwisho.
Nani bora utakuwa umeshanielewa
Ngoja nizame mzigoni bossUngesikiliza na back to my root..au born to suffer..
Mkuu mpe heshima lucky dubeHa ha ha ha kweli wewe hujui reggae hata jinsi ya kuiandika, Lucky Dube mwenye melody moja kwenye kila nyimbo, mwenye kupayuka na beat zinazofanana na zenye vinanda kama nyimbo za kanisani. Wewe mshamba sana hujui historia ya reggae na ni muziki wa aina gani, hujui kiingereza ndiyo maana unafikiri nyimbo za Bob hazina ujumbe. Kila mwimbo wa Bob una ujumbe, alitumia lugha ya ndani ya kiingereza na matamshi yake ya kijamaica yamekuacha. Lucky DUbe nyimbo zake za kulia tu, wala sio maarufu duniani kama Bob, huwezi kufananisha hata kidogo. Kwenye dunia ya root reggae ya kweli Lucky DUbe is nothing.
Nimeenda mbele zaidi nikasikiliza na the other side. Lucky can make me listen to music all of the day.Ungesikiliza na back to my root..au born to suffer..
Rastafari ni jina la mtu au?Bob Marley mwenyewe kapelekwa studio na Desmond Dekker.
Bob Marley alikuwa fundi wa welding tu, Desmond Dekker alikuwa kashaanza kurekodi na kupata hits, akamuunganishia Bob Marley studio.
Dhana nzima ya mfalme iko subjective.
Mfalme wa Reggae ni His Imperial Majesty Ras Tafari Makonnen, Haile Selassie I, Negusa Nagast, King of Kings, Conquering Lion of the Tribe of Judah, Emperor of Ethiopia, Prime Defender of the Faith. Elect of God.Power of the Trinity. Janhoy.Talaqu Meri. Abba Tekel. Qadamawi. Qadamawi.
Jah Rastafari.
Hakika mkuuNimeenda mbele zaidi nikasikiliza na the other side. Lucky can make me listen to music all of the day.
Sikiliza na huu wa Lucky dube tenaKwa kujiridhisha nimesikiliza nyimbo mbili za bob
1. Jah live
2. Bad card
Na mbili za lucky dube
1. Remember me
2. It's not easy
Na nimejikuta zote mbili za bob nikiishia katikati ila za lucky dube nimezisikiliza hadi mwisho.
Nani bora utakuwa umeshanielewa
Uko wapi?Sikiliza na huu wa Lucky dube tena
Nimeweka audio sijui imekuwaje... Ugoogle kwa jina la your stand aloneUko wapi?
Nyimbo nyingi za lucky ukizisikiliza zina hisia sana yan alikuwa anaimba kwa hisia kwel mfan remember me,slave,usizi, back to my roots hii back to my roots aliiperform 93 kuna clip YouTube ile permfomance yake kuanzia upigaji vyombo mpaka saut ilikuwa balaa mim nyimbo za bob azinigusi kabisa yan japo alikuw vizur ila ni vile kila mtu na anaemkubali. Kuna moja hiv ya lucky inaitwa hands that gives ina message nzur sana
Kwali Bob Marley ananyimbo nyingi sizipendi ila lucky dube nyimbo zake zote ni nzuri
Kuna ule wimbo wa I GOT YOU BABE ali perform uwanjani,ilikua ni noma aiseee.
Naunga mkono hoja zote sinaga nyimbo ya Nesta na hazijawahi kunivutia kwakweli bora hata Jerusalem ya Alpha blondyKwa kujiridhisha nimesikiliza nyimbo mbili za bob
1. Jah live
2. Bad card
Na mbili za lucky dube
1. Remember me
2. It's not easy
Na nimejikuta zote mbili za bob nikiishia katikati ila za lucky dube nimezisikiliza hadi mwisho.
Nani bora utakuwa umeshanielewa
Ras ni cheo cha familia za kifalme Ethiopia. Maana yake halisi ni "kichwa" au "kiongozi". Ni sawa na Duke au Prince Uingereza.Rastafari ni jina la mtu au?