Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 4,437
- 13,836
Kuna watu wanamchukia mno Makonda, ndani mpaka nje ya chama. Labda ni kutokana na mambo yaliyotokea awamu ya 5. Chuki hii inawapofusha na kuwapumbaza watu.
Inapelekea Makonda hata akifanya kitu kidogo tu basi makelele yanakuwa mengi, lakini wengi wao wanafanya hivyo kwa hisia na mihemko tu, hawana hoja za msingi.
Mambo anayotuhumia kuwa ni 'makosa makubwa' ni mambo madogo sana, as a matter of fact hata mamlaka za uteuzi zimewahi kuteleza ulimi na kuyasema. Mfano ile ya wachezaji wa mpira wanawake kukosa naniliu kifuani. Aliteleza, tukamsamehe na maisha yakaendelea.
Niwashuri wote wenye chuki na Makonda, hususani ndani ya chama na jumiya zake, mtaumia sana roho, acheni kuendeshwa na hisia na visasi.
Huyo mheshimiwa yupo sana hapo hatoki. Mwenyekiti anazijua sura zenu halisi na mipango yenu, hawezi kurudia makosa kama yale ya kumtoa kule kwenye uenezi.