Wengi wanamshambulia Makonda kwa mihemko na chuki, hawana hoja

Wengi wanamshambulia Makonda kwa mihemko na chuki, hawana hoja

Ushahidi upo, tuliza matako. Subiri Samia amalize kipindi chake
Huo ushihid wa kusubiri Samia amalize muda, wake mbona ni kama huko kivyake vyake.? Huo sio ushahid ni uhuni tu. Na ya Mungu mengi, mnaosema Samia amalize muda, nyie ndio mtakamatwa. Hakuna, aliye juu ya sheria. Na hii ni dunia ya Mungu si ya wahuni wachache.
 
Kuna yule Mbunge aliwananga Wahudumu wa Ndege za Air Tanzania kwamba ni wazee siyo warembo lkn hatukuona LHRC wala Wana Harakati wakija juu. Makonda endelea kuwapiga spana watanyooka tu.
Ndio hapo sasa, mambo ya Makonda yanakuzwa utasema kafanya kosa kuuubwa, kumbe chuki tu za watu.
 
MAKONDA ana kasoro zake kama mwanadamu hawezi kuwa mkamilifu.

Kwenye uongozi ana Alama zangu 95/100 mengine n Ya Mungu.
 
Kuna yule Mbunge aliwananga Wahudumu wa Ndege za Air Tanzania kwamba ni wazee siyo warembo lkn hatukuona LHRC wala Wana Harakati wakija juu. Makonda endelea kuwapiga spana watanyooka tu.
Kwa hivyo tudhalilishane kisa mwingine hakuchukiwa hatua. Ila wote ni CCM hawana nidhamu
 
Chuki anaitengeneza yeye mwenyewe! Kwani yeye ndiye RC pekee yake Tanzania?
Wapo ma RC wazuri kuliko yeye ambao wanafanyakazi kwa ustaarabu!
 
Kuna watu wanamchukia mno Makonda, ndani mpaka nje ya chama. Labda ni kutokana na mambo yaliyotokea awamu ya 5. Chuki hii inawapofusha na kuwapumbaza watu.

Inapelekea Makonda hata akifanya kitu kidogo tu basi makelele yanakuwa mengi, lakini wengi wao wanafanya hivyo kwa hisia na mihemko tu, hawana hoja za msingi.

Mambo anayotuhumia kuwa ni 'makosa makubwa' ni mambo madogo sana, as a matter of fact hata mamlaka za uteuzi zimewahi kuteleza ulimi na kuyasema. Mfano ile ya wachezaji wa mpira wanawake kukosa naniliu kifuani. Aliteleza, tukamsamehe na maisha yakaendelea.

Niwashuri wote wenye chuki na Makonda, hususani ndani ya chama na jumiya zake, mtaumia sana roho, acheni kuendeshwa na hisia na visasi.

Huyo mheshimiwa yupo sana hapo hatoki. Mwenyekiti anazijua sura zenu halisi na mipango yenu, hawezi kurudia makosa kama yale ya kumtoa kule kwenye uenezi.
Kumekuchaaa 👁🙄🤠
 
Ni suala la muda tu. Huyu mhalifu mwenye bahati lazima atakuja kabiliana na HAKIMU baada ya utawala wa Samia kwa tuhuma hizi:-
1. Kuuawa kwa Ben Saanane
2. Kushambuliwa Tundu Lissu
3. Kuuawa kwa Akwilina
4. Kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu kutoka kwa wafanyabiashara kama GSM, NAS, GBP, Yusuf Manji
5. Kuvamia kituo cha radio/TV cha Clouds
6. Kumteka Roma Mkatoliki
7. Kumteka Mo Dewji
Ukwe
Hizo ni tuhuma tu, na inategemea baada ya SSH ataingia nani, anaweza kuwa huyohuyu Makonda.
Wee wacha kabisa kuwadhihaki Wa Tanganyika.
Kwa tuhuma alzokuwa nazo hastahiri kuwa hata mwenyekiti wa kijiji.
 
Umewahi kumsikia yeye mwenyewe au Serikali ikikanusha? Walioshuhudia kwa macho, waliosikia, walitoa taarifa ambazo haziwekwa rasmi, LAKINI ile taarifa ya USA ni taarifa rasmi ya kisekali, uliwahi kumsikia Makonda mwenyewe au Serikali ikikanusha? Unataka ushahidi gani hasa?

Makonda alifanya uovu ule akiwa ndani ya Serikali, na hakuwa pekee yake. Ndiyo maana Serikali ili-mute kwa sababu kesi ya uovu wa Makonda lazima ungeihusisha Serikali moja kwa moja, kwa sababu yeye msimamizi mkuu wa uovu ule alikuwa kiongozi
wa Serikali, watekelezaji wote walikuwa watumishi wa Serikali.

Uzuri ni kwamba jinai haifi. Kuna siku, hata kama atakuwa 60 years old au zaidi, lazima atasimama kizimbani. Na atalipwa sawasawa na uovu wake.
Makonda ni zero brain
 
Wafuasi wake wanahisi jamaa anachukiwa kwa chuki tu binafsi ila jamaa hajui mipaka ya kazi yake sijui nini huaga kinampa kiburi, hiyo sio sifa nzuri kwa kiongozi
Linapokuja swala la kutetea au kutenda haki huwa halina mipaka braza usijitowe ufahamu wakati unafahamu!!
 
Back
Top Bottom