Wengi wanamshambulia Makonda kwa mihemko na chuki, hawana hoja

Makonda ni kilaza pro max ila ni ukweli usiopingika mahakama za bongo ni kichefuchefu. Watu wanafurika kwa Makonda sababu hawapati msaada kwingineko, serikali na mahakama zijitafakari.
 

View: https://www.youtube.com/live/yF0BWQd8TY0?si=yYzlu4L2hbIO2R3E
 
Hapa duniani sheria zipo na zinaenda kwa ushahid sio ngenjera na mihemko. Ebu tupe ushahid kuwa unachosema ni sahihi.
 
Ukiambiwa usibitishe haya mahakamani, utabaki ukilia na kuona serkali inakuonea.
Mbona clip ya uvamizi wa clouds media iko humu kwenye mtandao? Kama huna sema niipandishe fasta.

Hata ta kumshambulia Tundu Lissu ipo mahali salama. Tunasubiri Samia amalize kipindi chake tu. Litalia jitu michozi ya kutisha
 
Ndio hapo sasa, watu wachokonoa mifumo wanatengeneza control namba feki, bila Makonda tungeyajua hayo? Wamwache achape kazi.
Kwani Makonda ndio aligundua Hilo? Acha uongo. Ni yule mfanya biashara Chambulo ndio alipeleka hayo madai, ndipo TAKUKURU wakaanza upelelezi. Mnadhani hatukuwepo kwenye kikao.
 
Haki ipi?. Ya kumlima risasi Lissu?. Huyo lazima naye ataenda tu kwa unyama alioufanya.
 
Ashakuibia au ndo chuki za mafisadi sasa mmekuwa kama waeneza itikadi nimalize kusom niende kwa muheshimiwa nipige kazi
Mnatafuta kichaka Cha kujificha. Eti kila anayempinga Makonda ni fisadi. Tuendee tu ipo siku itajulikana.
 
Sasa hivi anahishi kwa hofu, oooh nawindwa na watu nane
 
Acha kuongea pumba. Wakuu wa mikoa waje kujifunza kuhusu Nini?. Amefanya projects zipi za maana?. Kufanya mikutano kwa ushirika wa online TVs ndio uongozi Bora?. Be serious.
 
Kuna yule Mbunge aliwananga Wahudumu wa Ndege za Air Tanzania kwamba ni wazee siyo warembo lkn hatukuona LHRC wala Wana Harakati wakija juu. Makonda endelea kuwapiga spana watanyooka tu.
 
Hahaha! Anapata support kubwa kutoka kwa wanamihemko, 'great thinkers' wao ni ku pick holes kwa mambo ambayo si sawa kwa sababu hawakuzoea kuona mambo yakienda kwa mihemko. Ila wanamihemko wako happy kwa sababu hawawezi kuona beyond that. After all, ni kama kutaka kinyonga ageuke rangi nyeupe. Haiwezekani! Wanamihemko wanajuana wao kwa wao na kupeana support.
 
Kuna yule Mbunge aliwananga Wahudumu wa Ndege za Air Tanzania kwamba ni wazee siyo warembo lkn hatukuona LHRC wala Wana Harakati wakija juu. Makonda endelea kuwapiga spana watanyooka tu.
Reasoning ya ajabu sana hii. Hopeless kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…