Wengi wanamshambulia Makonda kwa mihemko na chuki, hawana hoja

Ushahidi upo, tuliza matako. Subiri Samia amalize kipindi chake
Huo ushihid wa kusubiri Samia amalize muda, wake mbona ni kama huko kivyake vyake.? Huo sio ushahid ni uhuni tu. Na ya Mungu mengi, mnaosema Samia amalize muda, nyie ndio mtakamatwa. Hakuna, aliye juu ya sheria. Na hii ni dunia ya Mungu si ya wahuni wachache.
 
Kuna yule Mbunge aliwananga Wahudumu wa Ndege za Air Tanzania kwamba ni wazee siyo warembo lkn hatukuona LHRC wala Wana Harakati wakija juu. Makonda endelea kuwapiga spana watanyooka tu.
Ndio hapo sasa, mambo ya Makonda yanakuzwa utasema kafanya kosa kuuubwa, kumbe chuki tu za watu.
 
MAKONDA ana kasoro zake kama mwanadamu hawezi kuwa mkamilifu.

Kwenye uongozi ana Alama zangu 95/100 mengine n Ya Mungu.
 
Kuna yule Mbunge aliwananga Wahudumu wa Ndege za Air Tanzania kwamba ni wazee siyo warembo lkn hatukuona LHRC wala Wana Harakati wakija juu. Makonda endelea kuwapiga spana watanyooka tu.
Kwa hivyo tudhalilishane kisa mwingine hakuchukiwa hatua. Ila wote ni CCM hawana nidhamu
 
Chuki anaitengeneza yeye mwenyewe! Kwani yeye ndiye RC pekee yake Tanzania?
Wapo ma RC wazuri kuliko yeye ambao wanafanyakazi kwa ustaarabu!
 
Kumekuchaaa πŸ‘πŸ™„πŸ€ 
 
Wabadhirifu ni lazima washughulikiwe πŸ‘
Makonda go ! Go Makonda watu wamechoka na Ubadhirifu kila kona. πŸ‘πŸ™„πŸ˜³
 
Ukwe
Hizo ni tuhuma tu, na inategemea baada ya SSH ataingia nani, anaweza kuwa huyohuyu Makonda.
Wee wacha kabisa kuwadhihaki Wa Tanganyika.
Kwa tuhuma alzokuwa nazo hastahiri kuwa hata mwenyekiti wa kijiji.
 
Makonda ni zero brain
 
Wafuasi wake wanahisi jamaa anachukiwa kwa chuki tu binafsi ila jamaa hajui mipaka ya kazi yake sijui nini huaga kinampa kiburi, hiyo sio sifa nzuri kwa kiongozi
Linapokuja swala la kutetea au kutenda haki huwa halina mipaka braza usijitowe ufahamu wakati unafahamu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…