Wengine huwa hawaishi na wanawake, wanaishi wenyewe mpaka wanakufa. MWANAUME aliyakmilika anasaidia mwanamke wake kwa Upendo anapokuwa ma uwezo.
Huwezi kuwa mwanaume timamu, unayejiandaa na kujipanga kutosaidia mwanamke, mna shida gani vizazi vya kipindi hiki?
Misingi ya ndoa, ambayo inaonekana kwenye uanaume na uanawake toka utotoni,
A Man is'
Yani ili nijisikie vizuri i lazima ni provide na ku protect ( kwa uwezo na Upendo lakini), sio kujiumiza, kujiumiza haifai, na hapo utapendeka.
Nachokupinga ni kwamba wewe unajiandaa kwenda kinyume na kanuni za k uanaume na uanawake, na hapo ndo Unaharibu.
Mwanamke uliyemchagua, ukampenda kwa Hiyari, lazima u provide, lazima umsaidie, lazima umvishe, lazima ajisikie yupo na mtu (ila kwa Upendo, na uwezo)
Vitu vyenyewe unavyolalamikia ni vocha nauli! Uwewahi jiuliza kwa nini wanaume ni wateja kwenda kununua Malaya? Inatokana na asili......
Mwanaume is considered ana benefit kwa sex, na mwanamke ni kama anatoa service, ni asili, ni nature, ndivyo ilivyo.
Kama ukiwa na akshi unaenda nunua mwanamke, kwa nini usimhudumie unayempenda kwa dhati kwa uwepo wako kwenye maisha yako?
Aisee kama una miaka zaidi ya 30, wewe utakuwa ni mtu wa hovyo sana.