Wengine hatuwezi ku-date na Mwanamke asiyeweza kujilipia nauli na kujinunulia vocha

Wengine hatuwezi ku-date na Mwanamke asiyeweza kujilipia nauli na kujinunulia vocha

Sioni ajabu mwanaume kumpa pesa/nauli mwanamke wake. Kuhusu kuonekana malaya anaweza asiwe anatoa hata thumni na akakuona malaya vile vile kwa namna anayoijua yeye. So kama mtu kwa mapenzi yake kaamua kumpa pesa mwanamke wake wacha tu iwe hivyo.
Mi ndio hata sijali,let them call us whatever they like lakini hawajui tu Ile feeling ya kutumiwa nauli na baby inavyoamsha genye,maana unaona kabisa ule uhitaji wa uwepo wako na thamani Yako, 😅😅😅.
Kwanza mambo ya kujilipia nauli kabla hujafika makambako mtu kazima na simu nani anataka ushubwada
 
Yaani siwezi pelekea mtu kei Kwa nauli yangu
Hapo ndipo unapokosea sana!! mahitaji ya mwanamume ni zaidi ya kei!! haumpelekei kei bali unaenda kumpa company anayohitaji toka kwako!! huko aliko mbona kei ni nyingi tu!! kama issue ni kei wala asingekuita wewe toka mbali, angezipata nyingi tu huko aliko!! Usipolijua hili, utasubiri sana!! Lakini pia kama kweli unampenda na kumhitaji kwa nini uone shida kugharimia kumpelekea hiyo kei? na wewe si utafurahia em yake?
 
Huwa napenda kuongea kwenye mada mpya,,,hii nineshabishana sana na mwenye mada yake kanyanyua mikono,ndio maana unaona Sina Cha kujibu..hebu elewa msimamo ndio huohuo..no fair,no journey 😎
 
Huwa napenda kuongea kwenye mada mpya,,,hii nineshabishana sana na mwenye mada yake kanyanyua mikono,ndio maana unaona Sina Cha kujibu..hebu elewa msimamo ndio huohuo..no fair,no journey 😎
Nimekuelewa!! no fair no journey!! tukubaliane kutokukubaliana!! Ila hii ni mijadala tu ya jukwaani, mawazo ya kila mmoja ni vizuri yaheshimiwe!! Ndiyo maana tunatofautiana, wengine wafupi, wengine warefu, wengine wembamba, wengine wanene, bado wote ni binadamu na wote ni wazuri!! Na mawazo pia hatutegemei yafanane!!
 
Mara mia mwanamke akasema hana nauli na awe hana kweli, hapo akiomba nauli sawa maana hamna namna nyingine. Lakini mwanamke kama pesa ya nauli anayo lakini anaona kuitumia kwa namna hiyo anaona atakuwa amefanya matumizi mabaya!! Sasa kwa nini anategemea huyo mwanamume yeye ndo afanye hayo matumizi mabaya??

Na anakosaje nauli wakati sio nauli ya ndege?
Mwanamke akikupenda hawezi kukosa nauli hata kama hana kazi
 
Back
Top Bottom