Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Dah umenikosea sana!maana unajua kabisa Nina mzigo na wanaume bahili wa milimani kama wewe,π π π πWewe ndio type yangu sasa. Sema unajishaua tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah umenikosea sana!maana unajua kabisa Nina mzigo na wanaume bahili wa milimani kama wewe,π π π πWewe ndio type yangu sasa. Sema unajishaua tuu
Dah umenikosea sana!maana unajua kabisa Nina mzigo na wanaume bahili wa milimani kama wewe,π π π π
Sasa ndio mle ugali na picha ya samakiππππHakunaga mwanaume bahili akawa mjinga.
Angalia wazee WA Bajeti Kali wote uje uniambie.
Angalia Wachaga, waha, wakinga wapare, wahindi, wapemba, alafu wapate nafasi ya Kazi au biashara uone Maisha Yao yalivyo.
Sisi sio mizigo, Ila tunajizuia(bahili) Kwa mambo yasiyo na umuhimu.
Sasa na wewe hapo ndo umehalibu. Dunia hii,una uhakika huyo demu unaemhangaika wako tuuu au unashea na wenzako! Sasa ya nini uhangaike na lijitu lisilojitambua? Tatizo linaanza hivi,kwenye ushindani wa mapenzi. Kama haeleweki,mgegede,mpe nauli,chipsi mnunulie na aondoke. Vocha kwani we voda! Nauli kwani unaenjoy peke yako? Kuprovide unakosema,mwanamke mwenye akili hakuombi pesa. We mwenyewe utajiongeza. Mwingine hata nauli atakopa,akifika atakueleza. Mengine utasikia oh,ntakula nini, eti nyumbani ntakuta wamemaliza chakula.Wengine huwa hawaishi na wanawake, wanaishi wenyewe mpaka wanakufa. MWANAUME aliyakmilika anasaidia mwanamke wake kwa Upendo anapokuwa ma uwezo.
Huwezi kuwa mwanaume timamu, unayejiandaa na kujipanga kutosaidia mwanamke, mna shida gani vizazi vya kipindi hiki?
Misingi ya ndoa, ambayo inaonekana kwenye uanaume na uanawake toka utotoni,
A Man is'
- Protector.
- Provider.
Yani ili nijisikie vizuri i lazima ni provide na ku protect ( kwa uwezo na Upendo lakini), sio kujiumiza, kujiumiza haifai, na hapo utapendeka.
Nachokupinga ni kwamba wewe unajiandaa kwenda kinyume na kanuni za k uanaume na uanawake, na hapo ndo Unaharibu.
Mwanamke uliyemchagua, ukampenda kwa Hiyari, lazima u provide, lazima umsaidie, lazima umvishe, lazima ajisikie yupo na mtu (ila kwa Upendo, na uwezo)
Vitu vyenyewe unavyolalamikia ni vocha nauli! Uwewahi jiuliza kwa nini wanaume ni wateja kwenda kununua Malaya? Inatokana na asili......
Mwanaume is considered ana benefit kwa sex, na mwanamke ni kama anatoa service, ni asili, ni nature, ndivyo ilivyo.
Kama ukiwa na akshi unaenda nunua mwanamke, kwa nini usimhudumie unayempenda kwa dhati kwa uwepo wako kwenye maisha yako?
Aisee kama una miaka zaidi ya 30, wewe utakuwa ni mtu wa hovyo sana.
Sasa ndio mle ugali na picha ya samakiππππ
Sasa na wewe hapo ndo umehalibu. Dunia hii,una uhakika huyo demu unaemhangaika wako tuuu au unashea na wenzako! Sasa ya nini uhangaike na lijitu lisilojitambua? Tatizo linaanza hivi,kwenye ushindani wa mapenzi. Kama haeleweki,mgegede,mpe nauli,chipsi mnunulie na aondoke. Vocha kwani we voda! Nauli kwani unaenjoy peke yako? Kuprovide unakosema,mwanamke mwenye akili hakuombi pesa. We mwenyewe utajiongeza. Mwingine hata nauli atakopa,akifika atakueleza. Mengine utasikia oh,ntakula nini, eti nyumbani ntakuta wamemaliza chakula.
Mungu baba tusamehe
Kumbe ilikuwa hivyo, ndiyo maana amekuwa against Wanawake siku zoteAlishataka kuibiwa na MwAnaMkE ,sio anapenda ,mahakama ilisaidia kwamba hanakosa
Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
Wote majizi. Huenda wanawake wameibiwa toka enzi,sasa na wenyewe wanalipiza kisasiNa wewe huwezi tumia nauli yako??
Kutumia hela yangu as nauli sio shida lkn kuna ile namna mwanaume wangu kuniambia "baby nimekutumia hela jiandae uje kwangu" kuna raha zaidi inakuwepo asa watu sijui wanaichukuliaje hii wanatuita majina mabaya.Na wewe huwezi tumia nauli yako??
Asante!! Mungu akikujalia siku moja utajua na kushangaa kuwa "you were very wrong"Endelea kujitafuta bado una safari ndefu.
Kwa mawazo kama hayo, wengi wataishia kuwa single mothers!!Kama ana mipango mikubwa ya maisha mipango midogo ya nauli haiwezi kumshinda,nyumba huanza na msingi kabla kuezeka..
Washamliza, ni haki yake kulalama.Majizi kivipi sasa, kama anakupenda hatokuibia
Huwa nasema humu mara nyingi, hakuna mahala mtu analazimishwa kutoa pesa kumpa mwanamke, HAKUNA. Lkn sasa makasiriko debe kumbe ni rahisi tu kama hutaki kutoa hela unaacha unaendelea na mambo mengne.wanaume bahili hawatoelewa kwa kweli[emoji28]
Ubahili siyo huo!! Ubahili ni mtu kushindwa kujitimizia mahitaji yako ya halali na ya lazima wakati pesa ya kutumia unayo!! Kumtumia mwanamke nauli ili aje kupewa raha, tena kwa usumbufu wa kuandaliwa sana maana mawazo yake yamejaa marejesho kwenye vikoba, hayo si matumizi halali na ya lazima. Kwa hiyo mtoa uzi yuko sahihi sana!Dah umenikosea sana!maana unajua kabisa Nina mzigo na wanaume bahili wa milimani kama wewe,π π π π
Sioni ajabu mwanaume kumpa pesa/nauli mwanamke wake. Kuhusu kuonekana malaya anaweza asiwe anatoa hata thumni na akakuona malaya vile vile kwa namna anayoijua yeye. So kama mtu kwa mapenzi yake kaamua kumpa pesa mwanamke wake wacha tu iwe hivyo.Yaani ndo mule mule dear.
Hata uwe tajiri vipi ila ukikaa kwenye bus/ndege kumfuata baby kwa pesa ya baby yaani unajihisi kama malkia ila hizi nauli zinaweza sababisha mtu unayempenda kwa dhati akunyanyase na kukashifu akidhani na wewe ni malaya unategemea hizo nauli kuishi
Hapo umeongea angalau!! Sasa wenzio wanasema katu hawezi kutoa nauli yake kuitikia wito wa mwanaume wake!! Hilo sharti ndiyo tunasema siyo sawa maana mahusiano mnayafaidi wote na yamkini yanawaandalia mipango ya kuishi pamoja huko mbele, sasa kwa nini yagharimiwe na mmoja tu mara zote?. Amini usiamini wenye mawazo kama hayo huko mbeleni hutumia gharama sana kupata huduma hiyo (wanayojifanya hawaihitaji kivile wakati ukweli ni kuwa wanaihitaji sana tu) kwa kuwagharimia vijana wadogo kwa nauli, chakula, mavazi nk. Si tunaishi nao katika jamii tunawaona wanavyohangaika kuhudumia "serengeti boys"!Kutumia hela yangu as nauli sio shida lkn kuna ile namna mwanaume wangu kuniambia "baby nimekutumia hela jiandae uje kwangu" kuna raha zaidi inakuwepo asa watu sijui wanaichukuliaje hii wanatuita majina mabaya.
Mwanamke kama huyo akiishia kuwa single mother itamuuma maisha yake yote, hasa kila amwonapo huyo mwanamume akiwa ametulia na mwanamke mwingine anayeyatambua maisha vizuri!.Ni kweli mwaya ila kuna shoga angu alipewa nauli ya mkoa kwa sababu fulani akashindwa kwenda sasa wakati anajiandaa kwenda wakakwazana akawa hataki kwenda tena akaanza kuitwa tapeli wa nauli.
So sad.Roho ilimuuma hadi akawa analia maana anampenda sana huyo jamaa.Mwishowe akambiwa arudishe nauli ya watu na yeye akarudisha bila hiyana.Imetokea mwaka juzi ila mpaka leo roho inamuuma
Hapo umemaliza mkuu!! Tatizo wanawake wengine hudhani akiitwa na mwanaume anadhani anachohitaki ni kei tu!! Hivi hajiulizi kama anachohitaji ni kei kwani ni yeye tu mwenye kei? mahusiano yenye afya ni zaidi ya hicho!! ni company ya pekee!! si kila mwenye kei anaweza kukupa company unayoitaka!! wanawake wangelijua hilo wangethamini sana kuhitajiwa kwao na wanaume!! Ni fursa ya kuchanua ambayo huenda haitajitokeza siku zote!! Hakuna kinachomkera mwanaume kama kujua kuwa huyo anayemwita bebi wake wala hathamini company yake na hayuko tayari kuigharimia kwa chochote hata kama uwezo huo anao!!, hawezi kumpigia simu hadi apewe vocha ya kufanyia hivyo!! Hakuna mwanamune aliye serious na maisha aliye tayari kubeba mzigo huo!!Yaani umtumie MTU nauli Wakati unajua anayo, kumaanisha wewe ndio unashida naye, ilhali zipo pisikali kuliko mwenyewe zenye kipato na zenye uwezo wa kujilipia nauli. Labda huyo Mwanaume awe jinga.
Vijana wanaojitambua hawawezi fanya Jambo kama Hilo. Labda Vijana washamba
Hahaha! umenichekesha!! kwani nyie hamkipendi? watu wazima wanajua kwambs mnakipenda sana tu, na mnakihangaikia sana tu, kila uchao mnapango mitego mipya!!Bwana tafuteni Hela,, fanyeni majukumu tuwape mnachokipenda.
If you know there is more happiness in giving, why are striving for receiving only? don't you also need that happiness which comes through giving?Huna Hela bwana...Ongeza juhudi kwenye utafutaji,Ili uishi Ile there's more happiness in giving π