Wengine hatuwezi ku-date na Mwanamke asiyeweza kujilipia nauli na kujinunulia vocha

Siwezi kuhangaika kutafuta pesa kwa ajili ya mwanamke...sijawahi fanya upumbavu huo maybe kwa mke wa ndoa hiyo ni family...historia yangu ya kudate kwanza we do cost sharing iwe outing etc ...mambo ya kuombana vocha na nauli ni utoto..wanawake wanaojielewa na hawa huo ujinga wapo wengi sana...otherwise kama uko disparate na mapenzi..
 
Hahaha.............hujajua utamu wa kei wewe, ushawahi kupewa huku unaulizwa babe umeridhika au nikupe zaidi....πŸƒπŸƒπŸƒ
Sasa upewe zaidi wakati ukishakojoq dushe inalala, kula gambe ni mpaka asubuhi haina kulala hiyo.
 

Usipojiamini Hii Dunia itakusumbua mno
 
hivi kuna mwanaume haweza kweli kumtumia mtu nauli? au kakuona cheap ndio maana hajakutumia nauli?
 
Asante ila naona mtoa mada ana hoja sema watu wanashindwa kumuelewa hoja ya mtoa mada hapingi mwanaume kumuhudumia mwanamke wake anachopinga ni ubinafsi wa baadhi ya wanawake
Unamtetea eeh πŸ˜€
 
Wanaume wengi wanachukia ni kwamba unaweza kukuta unamtumia nauli unashangaa haji na kala hela yako au unamtumia vocha alafu ana chati na wengine sio wewe unamtumia message saa 2 asubuhi anakujibu saa 4 usiku hiki ndicho kinawauma wanaume wengi ndio maana wakaja na hoja hizi kama za mtoa mada kusingekuwa na hizi tabia hizi hoja zisingeibuka recently
 
Unamtetea eeh πŸ˜€
Simtetei ila naunga mkono kwenye hoja ya ubinafsi kwenye mahusiano yoyote ili yaimarike kusiwe na ubinafsi kati yenu mwanaume ajikite kwenye kumuhudumia mtu wake na kwenye hili sio ombi naturally ukiwa unampenda mtu wako lazima uhumudumie au umjali na mwanamke aoneshe upendo kwa mwanaume wake kusiwe na kukomoana.
 

Mapenzi ya kweli hakuna cha kusema huyu ni Mwanaume au huyu ni Mwanamke, wote mnaowajibu wa kusaidiana.

Sasa jitu hata nauli linashindwa huyo WA nini Wakati wapo Wanawake kibao wenye uwezo
 
Ukitoka na watu Maskini ndio huwa na mawazo kama hayo.
Kwa waliowahi Kutoka na wasichana au Wanawake wakishua Hawana fikra kama hizo.
Aiseee endelezeni kutoka na hao wakishua,ila Binafsi Nina uwezo wa kulipa nauli hata ukiniita Kampala,ila kama hujanitumia walah siji.....Mimi msimamo wangu ni kama wako siwezi date mwanaume hawezi tuma nauli,naweza fika huko hata jinsi ya kuku-host mgeni hawezi kumbe!anaanza kukulaza sehemu za ajabuajabu weeeeeeee Akili mtu wangu
 
Ungeandika uzi wako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hii sio comment ni UZI
 
Hivi unampimaje mwanaume kwa kutokukupa nauli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…