Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Yaan huo Mnada, Ubalozi walimstua Mbowe tu, ukawa ni Mnada wa Siri kiasi kwamba LISSU hakukua kabisaaa Wala hamna mwanachama mwengine alojua.Mbowe alinunua magari mawili ya ubalozi kwenye mnada wa hadhara.
Lissu akalianzisha kwamba Mbowe kahongwa na serekali.
Mbowe alipoulizwa akatoa nyaraka pamoja na number plate za ubalozi.
Kwa maoni yangu Mheshimiwa Lissu anahitaji kujirekebisha ikiwemo kuitafuta busara,subira na kukiweka chama mbele.
Ngongo kwasasa Lumumba.
Sehem ya wanasiasa ambao akiongea ,usimtilie mashaka ni LISSU, na MPINA.