The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 1,967
- 4,267
Lini na wapi..?Mbowe alinunua magari mawili ya ubalozi kwenye mnada wa hadhara.
Lissu akalianzisha kwamba Mbowe kahongwa na serekali.
Mbowe alipoulizwa akatoa nyaraka pamoja na number plate za ubalozi.
Kwa maoni yangu Mheshimiwa Lissu anahitaji kujirekebisha ikiwemo kuitafuta busara,subira na kukiweka chama mbele.
Ngongo kwasasa Lumumba.
Ushahidi upi unaoweza kuuweka hapa kwa wajumbe wenzako..?
Au unataka kutulisha matango pori tu hapa...?