The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 1,967
- 4,267
Lini na wapi..?Mbowe alinunua magari mawili ya ubalozi kwenye mnada wa hadhara.
Lissu akalianzisha kwamba Mbowe kahongwa na serekali.
Mbowe alipoulizwa akatoa nyaraka pamoja na number plate za ubalozi.
Kwa maoni yangu Mheshimiwa Lissu anahitaji kujirekebisha ikiwemo kuitafuta busara,subira na kukiweka chama mbele.
Ngongo kwasasa Lumumba.
Hilo bifu la Wenje na Lissu lilianza lini !Wenje na Yeriko Nyerere walikuwa Watumishi watiifu wa Joka la Mdimu
Na wamekuwa na Bifu na Tundu Lisu kitambo tu baada ya Lisu kukubali ombi la Freeman Mbowe la kumleta Lowassa Chadema
Sidhani kama utaelewa πΌ
Hivi hata maana ya mnada wa hadhara hujui maana yake nini !.Yaan huo Mnada, Ubalozi walimstua Mbowe tu, ukawa ni Mnada wa Siri kiasi kwamba LISSU hakukua kabisaaa Wala hamna mwanachama mwengine alojua.
Sehem ya wanasiasa ambao akiongea ,usimtilie mashaka ni LISSU, na MPINA.
Huyu mtu yuko wazi mno...Nina contacts za wajumbe wengi wa Kamati Kuu na ndio maana unaona Viongozi wengi wana mashaka na Lissu.
Kutoka nyumbani hadi hospital Lisu alipelekwa na Mtumishi wake wa Ndani Dada AminaHilo bifu la Wenje na Lissu lilianza lini !
Wenje ndiye aliyefanya arrangement ya Lissu kupelekwa Nairobi Hospital.
Wenje anamdai Lissu fedha nyingi hadi leo bado hajalipwa.
Wakati Lissu anapelekwa Nairobi hajitambui zilikuwepo ambulances 2.Unadhani nani alizipeleka !
Lissu hana shukrani.
Umekuja Story za Wenje?Mbowe alinunua magari mawili ya ubalozi kwenye mnada wa hadhara.
Lissu akalianzisha kwamba Mbowe kahongwa na serekali.
Mbowe alipoulizwa akatoa nyaraka pamoja na number plate za ubalozi.
Kwa maoni yangu Mheshimiwa Lissu anahitaji kujirekebisha ikiwemo kuitafuta busara,subira na kukiweka chama mbele.
Ngongo kwasasa Lumumba.
Minada huwa inatangazwa na madalali ndiyo maana Mbowe aliweza kwenda sinza akanunua hizo gari 2. Au alipaswa kuutangazia ulimwengu?Yaan huo Mnada, Ubalozi walimstua Mbowe tu, ukawa ni Mnada wa Siri kiasi kwamba LISSU hakukua kabisaaa Wala hamna mwanachama mwengine alojua.
Sehem ya wanasiasa ambao akiongea ,usimtilie mashaka ni LISSU, na MPINA.
Ningependa mabadiliko ndani ya CDM hasa tukizingatia Mbowe kakaa pale muda mrefu sana.Huyu mtu yuko wazi mno...
Mambo yake yako wazi mno...
Hana kashfa yoyote ile...
La angekuwa nayo, CCM wangeshamning'iniza kitambo kwa jinsi wasivyomtaka na wasivyo mpenda. Kwao huyu ndiye kikwazo chao kikuu kuliko Freeman Mbowe...
Kama nyie CHADEMA hamwoni pontential iliyo ndani ya mtu huyu, basi mna shida vichwani mwenu...
By the way, nikuulize swali ndugu Ngongo, kwamba kama sio Tundu Lissu kuwa mwenyekiti wa CHADEMA sasa ukiondoa Freeman Mbowe ambaye obvious ameshachoka kifikra na kimikakati (strategically) ktk kukipeleka chama mbele, nani anafaa mwingine kuongoza chama ktk nyakati na majira haya ya style mpya ya siasa za kibabe chini ya CCM...?
Aisee, nasema tena....
Kama mtakuwa hamumuoni Tundu Lissu kuwa ndiye the right person kw hitaji la nyakati hizi, basi hiyo kamati kuu yote haifai na itakuwa imejaa wajinga watupu...!!
Agakhan walitaka 10,000 deposit kwanza.Ni nani aliyeshauri apelekwe Nairobi hospital?.Kutoka nyumbani hadi hospital Lisu alipelekwa na Mtumishi wake wa Ndani Dada Amina
Pale hospital Wabunge wa CCM wakiongozwa na Dr Mwigullu PhD walichanga Fedha za dharura baada ya Mbowe kusema familia inataka apelekwe Nairobi
Jitihada za Dr Mwigullu PhD ndio zilisababisha Bilionea Tukey akodi Chopa ya kumpeleka Tundu Lisu Nairobi
Kule Nairobi Bill yote aliclear mstaafu ruksa rip
Kuna mengi huyajui subiri Msigwa au Lema watakapofunguka πππ
Family yake kupitia Mkewe na group lao la MawakiliAgakhan walitaka 10,000 deposit kwanza.Ni nani aliyeshauri apelekwe Nairobi hospital?.
Ngongo kwasasa Lumumba.π₯Ίπ₯Ίπ₯ΊMbowe alinunua magari mawili ya ubalozi kwenye mnada wa hadhara.
Lissu akalianzisha kwamba Mbowe kahongwa na serekali.
Mbowe alipoulizwa akatoa nyaraka pamoja na number plate za ubalozi.
Kwa maoni yangu Mheshimiwa Lissu anahitaji kujirekebisha ikiwemo kuitafuta busara,subira na kukiweka chama mbele.
Ngongo kwasasa Lumumba.
Hakuna kitu kama hicho Hawa wachaga walio wengi wameamua kuona chama kinapokwa. Kwa namna wakina Boni yai walivyomshambulia Lissu haya yangekua yashasemwa.Huenda kuna mtu/watu wanampa wrong Intel,Lissu awe makini na sources zake.
Wewe hujui kitu Lissu alikuwa apelekwe Muhimbili.Family yake kupitia Mkewe na group lao la Mawakili
Haya mambo wengi hamyajui π
Kikwete, baada ya kupata Intel za akienda Muhimbil watammalizia huko.Agakhan walitaka 10,000 deposit kwanza.Ni nani aliyeshauri apelekwe Nairobi hospital?.
Wewe ndio mchaga, wenje anaungana na wachaga kula pesa za mama AbdulWenje ni mchagga wa Huru Kishumundu.
Wewe ndio umesema habari za Agakhan au ushalewa?Wewe hujui kitu Lissu alikuwa apelekwe Muhimbili.
Mbowe na viongozi wengine wa CDM walistukia mchezo mzima wakahaha huku na kule.
Unafikiri ni kwanini ambulances 2 zilikuwa Airport?.
Watu wanajua kujisahaulisha sana,unabaki kushangaa hivi huyu Lissu kama anaweza kuwageuka viongozi wenzake kwa kiwango tunachokushuhudia leo.Siku akipewa madaraka atakuwa ni kiongozi wa aina gani !.