Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Usibishe. Angalia watu wenye misimamo mikali, wenye akili nyingi na majasiri. Hawaishi sana. Hufa mapema. Waliowahi fanya mambo makubwa au harakati kubwa duniani wengi walikufa mapema.
Walikufa kwa natural death au kuuawa. Soma history usibishe. Angalia wapigania uhuru na mageuzi wa Africa. Waliuawa mapema. Waliuawa na mabeberu kwa kushirikiana na waafrika wenyewe.
Ndiyo, hadi marais pia waliuawa kwa sababu hiyo hiyo na wale ambao walionekana wangeweza kuwa marais pia waliuawa kabla sababu ya mitazamo yao.
Ila wale wenzangu na mimi wanadumu sana maana wanakuwa wanapendwa na tabaka la kifisadi, la kinyonyaji, la kijambazi. Wanaishi maisha mengi sababu hawafikirii sana. Wema Hawana Maisha.