Wenye akili kubwa na tunaomjua vyema tulishasema msemaji wa simba sc ni mwana yanga sc mno mkabisha na kutukana

Nakubaliana na wewe kwamba Ahmed anabwabwaja Sana. Lakini kusema ni shabiki wa Yanga Hilo mhh!
 
Kama ni kweli basi Simba ni timu yenye Viongozi wa hovyo kuliko zote duniani. Yaani wanaacha kushughulikia matatizo ya timu wanamweka kitimoto "major domo"?
 
Ukiwa Simba au Yanga lazima ukubali kuwa mwendawazimu. Hizi timu zinavyoendeshwa ni kiajabu sana
 
Hilo nakataa mpaka nakufa huyo kiasili ni Yanga lialia anaebisha akipata muda ashuke pale mji mdogo wa mahuta mkoani mtwara afike pale mkabala na duka la siwajibu lupanda halafu utapata jibu
 
Jeshi la mtu mmoja linawakera hadi mnaanza kuleta kampeni za propaganda za kitoto!??
Yaani mtu mmoja anawatisha kiasi hicho?
 
Hao ni utopolo.
Hapo tu kwenye propaganda ndio wametuzidi akili sana wana Simba.
Naona tayari watu wenye akili kisoda mmeshaingia kwenye mfumo wa akina ali kamwe
 
Huna akili
 
Simba bado haipo sawa kiwanjani, tusitake kumtengenezea zengwe msemaji, kama ni lawama ziende kwa wale wezi au 10% wanaokwenda kuokota wachezaji na kuja kumpa kazi jamaa aanze kuwapa sifa.
 
Hao ni utopolo.
Hapo tu kwenye propaganda ndio wametuzidi akili sana wana Simba.
Naona tayari watu wenye akili kisoda mmeshaingia kwenye mfumo wa akina ali kamwe
Mimi ni kolowizad OG
 
Hivi tabulele ina maanisha Nini
 
Ahmed ally yuko fresh, hawez kuwa serious nchi ambayo kila mtu hayuko serious.
Nchi ambayo ina TANESCO huwez kuwa nayo serious bana
 
Naona mods wanaiwekea vikwazo Misri isiingize bidhaa Jamii Forums ila wanairuhusu Egypt
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…