balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Akandwanao akawakanda makoloTimu haina wachezaji hiyo mtalaumiana tu na usajiri wa uongo eti alimkaba CR 7 mabeki wanafungishwa tela kama mechi ya Mlandege utamlaumu msemaji?..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akandwanao akawakanda makoloTimu haina wachezaji hiyo mtalaumiana tu na usajiri wa uongo eti alimkaba CR 7 mabeki wanafungishwa tela kama mechi ya Mlandege utamlaumu msemaji?..
Nakubaliana na wewe kwamba Ahmed anabwabwaja Sana. Lakini kusema ni shabiki wa Yanga Hilo mhh!Tena simba sc wamechelewa sana kumshtukia na kuja na onyo hili kwake
Kwa miezi miwili sasa kama ukiwa makini kila ukimsikia msemaji wa simba sc ahmed ally akiongea na media utagundua kuwa hayuko serious kabisa na kwa 99%. anachokifanya ni mzaha mwingi pamoja na ukomedi wake ambao wala hauna tija katika suala zima la ufanisi wa timu hasa katika upande wa mawasiliano na mahusiano
Yaani mchezaji akitokea Cameroon tunaambiwa Samuel eti kapendekeza, akitokea ivory coast eti didier drogba kapendekeza, akitokea senegal eti sadio mane kapendekeza na najua kwa sasa anatamani mchezaji atokee ama nigeria au south afrika aseme kuwa akina nwako kanu na ben macarthy ndiyo wamewapendekeza
Ushauri wangu kwa uongozi wa simba sc ni kwamba ianze kutafuta a competent club spokesperson wa kuendana na dunia ya sasa ya ushindani katika masuala mazima ya communication, media, pr and corporate affairs ila siyo kwa huyu ahmed ally kwani hatoshei na naendelea kusisitiza kuwa huyu siyo mwana simba sc 100% kama hata na wale wengine nao ali wao nae hata siyo mwana mafuriko ya vyura kwa 100% kwani hata marafiki na ndugu zake baadhi wameshasema hilo kitambo tu isipokuwa tajiri wa magodoro kachagua kuweka pamba masikioni
Kama ni kweli basi Simba ni timu yenye Viongozi wa hovyo kuliko zote duniani. Yaani wanaacha kushughulikia matatizo ya timu wanamweka kitimoto "major domo"?Tena simba sc wamechelewa sana kumshtukia na kuja na onyo hili kwake
Kwa miezi miwili sasa kama ukiwa makini kila ukimsikia msemaji wa simba sc ahmed ally akiongea na media utagundua kuwa hayuko serious kabisa na kwa 99%. anachokifanya ni mzaha mwingi pamoja na ukomedi wake ambao wala hauna tija katika suala zima la ufanisi wa timu hasa katika upande wa mawasiliano na mahusiano
Yaani mchezaji akitokea Cameroon tunaambiwa Samuel eti kapendekeza, akitokea ivory coast eti didier drogba kapendekeza, akitokea senegal eti sadio mane kapendekeza na najua kwa sasa anatamani mchezaji atokee ama nigeria au south afrika aseme kuwa akina nwako kanu na ben macarthy ndiyo wamewapendekeza
Ushauri wangu kwa uongozi wa simba sc ni kwamba ianze kutafuta a competent club spokesperson wa kuendana na dunia ya sasa ya ushindani katika masuala mazima ya communication, media, pr and corporate affairs ila siyo kwa huyu ahmed ally kwani hatoshei na naendelea kusisitiza kuwa huyu siyo mwana simba sc 100% kama hata na wale wengine nao ali wao nae hata siyo mwana mafuriko ya vyura kwa 100% kwani hata marafiki na ndugu zake baadhi wameshasema hilo kitambo tu isipokuwa tajiri wa magodoro kachagua kuweka pamba masikioni
Huyo Ahmed kiasili ni yanga lialia anaebisha aende akaulize pale mahuta kwenye kijiwe kilicho karibu na duka la siwajibu lupandaKama Ally ni Simba basi atakuwa genius sana mwana!
Hilo halina ubishi kabisa huyo ni yanga lialia ila sioni hoja kama ni tatizo sana kwasababu hata sisi yanga mbona tunaishi na canavaro wakati kiasili ni simba?Nakubaliana na wewe kwamba Ahmed anabwabwaja Sana. Lakini kusema ni shabiki wa Yanga Hilo mhh!
Hilo nakataa mpaka nakufa huyo kiasili ni Yanga lialia anaebisha akipata muda ashuke pale mji mdogo wa mahuta mkoani mtwara afike pale mkabala na duka la siwajibu lupanda halafu utapata jibuAhmed Ally ni Simba, toka akiwa Azam TV alionesha mahaba yake kwa Simba. Kuna wakati Jakaya Kikwete alialikwa kwenye event ya Yanga, Azam waliirusha LIVE ile event, Ahmed Ally alimfata JK ili kumhoji na JK akamjibu mbovu, thread yake ipo humu.
Ahmed Ally ataonekana ni mbaya sababu ya mwenendo mbovu wa Simba. Mo anazidi kufurahi jinsi anavyocheza na akili za mashabiki wa Simba.
kuhusu priva na alikamwe hao ni yanga lialia.........gsm na manara hao ndio simbaShida iko wapi na priva na ali kamwe ni simba kwa hyo hapo ngoma 50/50
Semaji la CAF. Linaongea kama linaghani mashairi 😁😁😁Kanyagia hapo hapo semaji...
Jeshi la mtu mmoja linawakera hadi mnaanza kuleta kampeni za propaganda za kitoto!??Tena simba sc wamechelewa sana kumshtukia na kuja na onyo hili kwake
Kwa miezi miwili sasa kama ukiwa makini kila ukimsikia msemaji wa simba sc ahmed ally akiongea na media utagundua kuwa hayuko serious kabisa na kwa 99%. anachokifanya ni mzaha mwingi pamoja na ukomedi wake ambao wala hauna tija katika suala zima la ufanisi wa timu hasa katika upande wa mawasiliano na mahusiano
Yaani mchezaji akitokea Cameroon tunaambiwa Samuel eti kapendekeza, akitokea ivory coast eti didier drogba kapendekeza, akitokea senegal eti sadio mane kapendekeza na najua kwa sasa anatamani mchezaji atokee ama nigeria au south afrika aseme kuwa akina nwako kanu na ben macarthy ndiyo wamewapendekeza
Ushauri wangu kwa uongozi wa simba sc ni kwamba ianze kutafuta a competent club spokesperson wa kuendana na dunia ya sasa ya ushindani katika masuala mazima ya communication, media, pr and corporate affairs ila siyo kwa huyu ahmed ally kwani hatoshei na naendelea kusisitiza kuwa huyu siyo mwana simba sc 100% kama hata na wale wengine nao ali wao nae hata siyo mwana mafuriko ya vyura kwa 100% kwani hata marafiki na ndugu zake baadhi wameshasema hilo kitambo tu isipokuwa tajiri wa magodoro kachagua kuweka pamba masikioni
Hao ni utopolo.Simba acheni ramli chonganishi, mlimfukuza robertinho hakuna kilichobadilika, mkatuhumu wachezaji kuuza mechi mpaka leo kimyaa, mkamleta kocha wa 50m/mwezi timu ndiyo hiyo inafungwa na kitimu feki cha mlandege.
Sasa mmemrukia ahmed ali. Kwamba ni mamluki.
Na bado, msimu huu cafcl mtashika mkia kwenye makundi
Huna akiliTena simba sc wamechelewa sana kumshtukia na kuja na onyo hili kwake
Kwa miezi miwili sasa kama ukiwa makini kila ukimsikia msemaji wa simba sc ahmed ally akiongea na media utagundua kuwa hayuko serious kabisa na kwa 99%. anachokifanya ni mzaha mwingi pamoja na ukomedi wake ambao wala hauna tija katika suala zima la ufanisi wa timu hasa katika upande wa mawasiliano na mahusiano
Yaani mchezaji akitokea Cameroon tunaambiwa Samuel eti kapendekeza, akitokea ivory coast eti didier drogba kapendekeza, akitokea senegal eti sadio mane kapendekeza na najua kwa sasa anatamani mchezaji atokee ama nigeria au south afrika aseme kuwa akina nwako kanu na ben macarthy ndiyo wamewapendekeza
Ushauri wangu kwa uongozi wa simba sc ni kwamba ianze kutafuta a competent club spokesperson wa kuendana na dunia ya sasa ya ushindani katika masuala mazima ya communication, media, pr and corporate affairs ila siyo kwa huyu ahmed ally kwani hatoshei na naendelea kusisitiza kuwa huyu siyo mwana simba sc 100% kama hata na wale wengine nao ali wao nae hata siyo mwana mafuriko ya vyura kwa 100% kwani hata marafiki na ndugu zake baadhi wameshasema hilo kitambo tu isipokuwa tajiri wa magodoro kachagua kuweka pamba masikioni
Mimi ni kolowizad OGHao ni utopolo.
Hapo tu kwenye propaganda ndio wametuzidi akili sana wana Simba.
Naona tayari watu wenye akili kisoda mmeshaingia kwenye mfumo wa akina ali kamwe
Hivi tabulele ina maanisha NiniSimba acheni ramli chonganishi, mlimfukuza robertinho hakuna kilichobadilika, mkatuhumu wachezaji kuuza mechi mpaka leo kimyaa, mkamleta kocha wa 50m/mwezi timu ndiyo hiyo inafungwa na kitimu feki cha mlandege.
Sasa mmemrukia ahmed ali. Kwamba ni mamluki.
Na bado, msimu huu cafcl mtashika mkia kwenye makundi
Pacome umepigaje hapo ?Ahmedy mm pia namashaka nae hata mlivyopigwa 5 aliandika masihara sana wakati watu walikuwa na maumivu!