Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Kulingana na Benki ya Dunia masikini ni yule ambaye kwa siku anaishi chini ya USD 2Mimi naona mtu akiweza kupata mahitaji Muhimu ya binadamu , chakula mavazi na malazi bila kutetereka huyo sio maskini .
Mpaka ukawasikia na wewe itakua ni maskini tu sema unajikakamua mbele yao kuonekana tajiri , matajiri huwa hawana mda wakujua habari za ndani kiasi hiki za maskini.Usipeleke. Watoto English medium
Usifanye harusi kubwa .hazidumu
Msinunue jeneza zuri na Maua mazuri linaenda kufukiwa
Usijenge ghorofa
Utapateje mahitaji bila thamani ya pesa?Kulingana na Benki ya Dunia masikini ni yule ambaye kwa siku anaishi chini ya USD 2
Hata ilapate hayo mahitaji kama ni chini ya USD 2 per day huyo ni masikini
Wastani wa kipato chako kwa mwaka kinaamuaUtapateje mahitaji bila dhamani ya pesa?
Dhamai badala ya thamani ,futa hii post nimekoseaWastani wa kipato chako kwa mwaka kinaamua
Huyo cocastic sio mwanamke kaa nae mbali hiyo ni blending mashineWanawake njoeni tujadili magari huku 😂😂 cocastic Tayana-wog et al
Sawa.Hela si muhimu sana, hususan kama unazo.
Hela ni muhimu sana kwa wale ambao hawana tu.
Na hela ina viwango tofauti, wewe unaweza kuona kuwa na hayo magari ni kuwa na hela, wakati mimi nimepaki BMW X5 na Mercedes Benz GLE 450 4Matic hapo nje, magari yangu, lakini sihesabu kwamba ni alama ya kuyapatia maisha, ni vyombo vya usafiri tu nilivyovipenda.
Kwanza naona kwa maisha yangu magari ni liability si asset. Ila nahitaji usafiri wa binafsi tu kwangu na dogo anayeenda shule ya sekondari na kupiga misele yake in the X5.
Mkuu,Kulingana na Benki ya Dunia masikini ni yule ambaye kwa siku anaishi chini ya USD 2
Hata apate hayo mahitaji kama ni chini ya USD 2 per day huyo ni masikini
Andika Kiswahili mkuuMpaka ukawasikia na wewe itakua ni maskini tu sema unajikakamua mbele yao kuonekana tajiri , matajiri huwa hawana mda wakujua habari za ndani kiasi hiki za maskini.
Nimejifunza juzi tu ,hiyo lugha yenu maskini😅Andika Kiswahili mkuu
Wait and seeSasa mkuu atamblend nani😂🫴🏾Tuko nae sambamba daily ndiomaana namshirikisha mambo yetu🥱
GT Wewe una gani na ngapi kati ya hizo ulizoorodhesha?Huku mtaani wenye hela zao wako busy kununua 2024 Range Rovers. 2025 G Wagons, 2023 Ford Rangers, Bentleys, Porsche, latest BMW X5,6,7
Wakati huo huo huko mitandaoni masikini wako busy kusema usinunue hizi gari ni mbovu sana!
Maajabu hayaishi duniani.
MimiHivi ni aina gani ya watu wanaendesha hizi lamborghini urus, toyota century na rolls royce phantom hapa tanzania? Aisee.
Hahhhaa Mimi nakujuaga vizuri sana japo unajaribu kujifichaga.Ha ha ha wee kichaa niache.
Wewe wagecuck angalia ICE wasikukamate watakumwaga ubongo.Mimi