Wenye hela wananishangaza. Maajabu hayaishi duniani

Mkuu anaetoa $200,000 kununua gari hajui kuwa kuna gharama za matengenezo?
Wakati wabongo wanaanza kuingiza magari used kwa wingi, jamaa yangu mmoja alinunua benzi lake, ki-mwonekano lilikuwa ni zuri kweli kweli. Baada ya mwezi akaliweka kwenye mawe na halikufufuka tena. Hoja yako inaangukia kwa watu kama hao. i.e. watu wasio na uwezo wa kumiliki gari lakini wanajikakamua kununua ili kuonyesha makapuku ''cha moto'', kuwaringia. Kwa kifupi ni ulimbukeni. Ukisikia mtu analia ''hii gari inakunywa mafuta mno'' (kama aliambiwa gari inakunywa maji) au ni ndoa ya kikatoliki, haliuziki etc jua amenunua kitu asichomudu gharama zake. BTW kumiliki gari ni gharama za uendeshaji, kununua ni step ndogo sana. Ile helkopta ya Musukuma ''mbunge'' bado ipo?
 
CFAO naona wanakubali kulipa kwa installments-ineos grenadier
 
Mtu anakuambia BMW ni mbovu cha ajabu hajawahi hata kumiliki tairi yake, daaah
 
Hapo hizo gari nne karibu zote zinaanza safari kuja Tanzania za wateja zinakuja kwa kuendeshwa zaidi ya 3000km na pia mtu anakosoa gari ya 2018 au 2022 mi naona ni utani sana mwaka 2009 nilinunua Ford bantam ya 2006 mpaka kesho ipo home inapiga kazi zijawahi kusikia tatizo lolote ndio yaje kuwa mabovu haya mawe ni utani sana huo..
 
Aione mganga mmoja wa kienyeji wa JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…