Wenye hela wananishangaza. Maajabu hayaishi duniani

Sisi bado Harrier model ya 2012 tunaiita "new model"!!!

Nina cousin siku moja ananiambia amepeleka Range yake ilikuwa na changamoto na imemtoka 12m, "NIKAHUHA MOYONI"!!!!
Kwani new model maana yake nini? Kwa nini harrier 2012 isiitwe new model?
 
Unataka kuumwa ukichaa
 
Mtu anakuambia BMW ni mbovu cha ajabu hajawahi hata kumiliki tairi yake, daaah
Ili ujue bunduki inaua unatakiwa uwe umeiimiliki kwanza?

Sio lazima awe na tairi kujua BMW ni mbovu, wapo mafundi gereji, wapo watu wao wa karibu wanamiliki, wanasoma pia reviews mtandaoni za hayo magari
 
Siku hizi Toyota wanairemba kidogo Hilux. Niliona Legend moja imetoka UK nzuri sana inside out.
Ipo Legend 55 moja nimeleta December hapo siwezi kutuma picha ni ya mteja ndani nzuri sana na speed na balance ipo hakuna sehemu nimelala inachanganya haraka sana ile mashine kwa ile gari nadhani ni ya pili baada ya Raptor kwa hizi pick up ndio itafata VW...
 
SA gari zenu nasikia ni high mileage, ni kweli?
 
SA gari zenu nasikia ni high mileage, ni kweli?
Wengi wanakuja wananunua we buys car ambako wauzaji wameenda kuuza ili wabadili gari ingine huko utakutana na gari imetembea mileage za kutosha na pia wengi wanakuja kununua gari za zamani kwa bei kubwa wanaacha za miaka ya karibuni ili alipie kodi ndogo kwa sababu gari itakua haina kodi ya uchakavu..
 
Mkuu just move on. Usitake kujifanya unajua nafikiria nini. Kama ume catch feeling that's your problem.
Ukitoka nje ya mstari lazima uelekezwe. Unapoleta thread yako akikisha unaweza kuitetea. Hii sio platform ya watoto wa chekechea. Mtu ana ist u amwita masikini kwa sababu hana roll royce. Haujui masikini wewe, nenda vijijini ndani ndani uko ukawaone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…