DOKEZO Wenye Hospitali binafsi wakataa kuwahudumia wateja wa NHIF kutokana na vifurushi vipya

DOKEZO Wenye Hospitali binafsi wakataa kuwahudumia wateja wa NHIF kutokana na vifurushi vipya

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Juzi nimeenda hospital heeeee! Wakakataa NHIF yangu,ikabidi niondoke.

Halafu et mbunge anatibiwa atakako na hakatwi kitu
Hospitari gan??

Sasa kama una Bima ya kifurushi unataka ukatibiwe Hospitari za kanda na Taifa bila kufata rufaa??

Mkiwa mnakata bima muwe mnasoma Masharti sio mnakuja kuwatangazia mabaya huku enieichaiefu.
 
Miezi kadhaa nilienda hospitali ya private, nilitibiwa vizuri kabisa kwa kutumia bima ya afya. Leo nimeenda hospitali ile ile, wakaniambia eti huduma ya bima ya afya haipo!

Ila cha kushangaza wafanyakazi wanakatwa kila mwezi kwenye mishahara yao kwa ajili ya huduma hiyo hiyo!
 
Back
Top Bottom