Wenye Hotels na Lodges hasa mikoa hii. Mablanket yenu huwa mnafua kweli?

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
2,254
Reaction score
5,161
Arusha, Mbeya, Iringa, Ruvuma, Njombe na Rukwa.

Haya mablanket yenu huwa mnafua kila mara kweli? Kuwa kila anapoondoka mteja mnabadilisha mnaweka jingine? Au tunaendelea kulalia na sisi wengine tukija?

Mimi sioni dalili ya kuwa haya yanabadilishwa. Nikiangalia hivi sioni kabisa hizo dalili. Naona tu kama kuna kuyatumia haya mpaka ukamilifu wa dahali. Sijui dahari. Mtajua huko huko.

Watu tunapata mpaka mafua. Siyo fair na mnatucharge pesa kama yote kwenye Hotels zenu.
 
Nafikiri hawafui kila mara ndio maana wanatanguliza shuka blanket lije juu yake
 
Arusha, Mbeya, Iringa, Ruvuma, Njombe na Rukwa.

Haya mablanket yenu huwa mnafua kila mara kweli? Kuwa kila anapoondoka mteja mnabadilisha mnaweka jingine? Au tunaendelea kulalia na sisi wengine tukija?

Mimi sioni dalili ya kuwa haya yanabadilishwa. Nikiangalia hivi sioni kabisa hizo dalili. Naona tu kama kuna kuyatumia haya mpaka ukamilifu wa dahali. Sijui dahari. Mtajua huko huko.

Watu tunapata mpaka mafua. Siyo fair na mnatucharge pesa kama yote kwenye Hotels zenu.
USitake kujua, cha msingi hakikisha unajifunika hilo blanka kwa mbinu za kimedani. Yaani siku zote hakikisha unajifunika juu ya shuka
 
Back
Top Bottom