Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Ukilikuta weka kwenye kiti jifunike shuka
Nafikiri hawafui kila mara ndio maana wanatanguliza shuka blanket lije juu yakeArusha, Mbeya, Iringa, Ruvuma, Njombe na Rukwa.
Haya mablanket yenu huwa mnafua kila mara kweli? Kuwa kila anapoondoka mteja mnabadilisha mnaweka jingine? Au tunaendelea kulalia na sisi wengine tukija?
Mimi sioni dalili ya kuwa haya yanabadilishwa. Nikiangalia hivi sioni kabisa hizo dalili. Naona tu kama kuna kuyatumia haya mpaka ukamilifu wa dahali. Sijui dahari. Mtajua huko huko.
Watu tunapata mpaka mafua. Siyo fair na mnatucharge pesa kama yote kwenye Hotels zenu.
Ukiweza tembea na la kwako.Hawafui, na wateja wengine wanatumia kuyafutia nyuchi zao
Asante kwa ushauriNi vyema usafiripo huko kwenye baridi jitahidi ulale hotel/guest ya kuanzia 30,000 huko mablanketi au duvets huwa zinafuliwa na sio za 5000 hadi 20000. Huko utarudi na fungus nyumbani
Hahaaa sasa arusha gest źa kawaida ndio zinaanzia 30000 ukibahatisha sana 25000Ni vyema usafiripo huko kwenye baridi jitahidi ulale hotel/guest ya kuanzia 30,000 huko mablanketi au duvets huwa zinafuliwa na sio za 5000 hadi 20000. Huko utarudi na fungus nyumbani
USitake kujua, cha msingi hakikisha unajifunika hilo blanka kwa mbinu za kimedani. Yaani siku zote hakikisha unajifunika juu ya shukaArusha, Mbeya, Iringa, Ruvuma, Njombe na Rukwa.