Wenye Hotels na Lodges hasa mikoa hii. Mablanket yenu huwa mnafua kweli?

Kwa kuhitimisha tu hotel zina classes asikariri five star hotels
 
Unalala guest za huko kajamba nani unategemea wafue kila siku kweli 🙄 Ungekua unalala Mt Meru hotel au Four Points au Gran Melia kwa hakika tusingekutana na huu uzi hapa.
 
Aseee jamaa tafuta pesa sana hapa mbeya uwe unalala GR city, hotel desderia kwa taita sehemu safi kabisa nyingine nililala new forest ya mmiliki wa city pub nimeisahau jina ni classic sana chumba cha chini 50k safi
 
Mi pale Makambako Huwa nalala hotel inaitwa DS HOTEL wale jamaa ni wasafi sana room zao alfu 30,000 na break fast.
Makambako wanajitahidi sana kwenye usafi ni moja ya sehemu ambazo swala la malazi halipo complicated na bei ni rahisi
 
Makambako wanajitahidi sana kwenye usafi ni moja ya sehemu ambazo swala la malazi halipo complicated na bei ni rahisi
Kama hiyo Hotel niliyotaja mkuu ni kali sana halafu bei poa sana.
 
Mie huwa nasafiri na blanket langu kwakuwa nilipata mafua makali Iringa kwenye lodge moja ambayo hata bei zake ni za juu ila usafi ni -ve
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…