Wenye kuijua hii kampuni forextradesaccotz ltd, tupeni ukweli/uhalali wake

Hii kampuni ya forex trade wamenipa mchanganua wao wa jinsi ninavyoweza kupiga hela nikitrade nao, lakini nahitaji mwongozo wenu, na hasa, waliowahi kufanya nao biashara.
shida ya wa Tanzania ni kupenda vya bwelele kama upo interested na biashara why usiingie chimbo kujifunza kwa miezi Sita uanze ku trade nikwambie tu kuna siku utalia tu very soon
 
Hii kampuni ya forex trade wamenipa mchanganua wao wa jinsi ninavyoweza kupiga hela nikitrade nao, lakini nahitaji mwongozo wenu, na hasa, waliowahi kufanya nao biashara.View attachment 2837226
Brother kama huwezi kukimbia huku umeva viatu, vishikilie mkononi ondoka nduki.

Utapigwa hadi utashangaa. Forex haipo hivyo trust me
 
Hii kampuni ya forex trade wamenipa mchanganua wao wa jinsi ninavyoweza kupiga hela nikitrade nao, lakini nahitaji mwongozo wenu, na hasa, waliowahi kufanya nao biashara.

View attachment 2837226
hahahahahah sasa kama wanakuzalishia pesa si wasaidie ndugu zao na marafiki zao watajirike wawe matajiri wakubwaaaa..
mtapigwaaaaaa msipokuwa makini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…