Wenye magari namba (A) tuwe waungwana tuyatoe barabarani ili TRA warudi kusajili (A) tena itakapo jaa namba D

Wenye magari namba (A) tuwe waungwana tuyatoe barabarani ili TRA warudi kusajili (A) tena itakapo jaa namba D

Mleta mada atakuwa afisa wa serikali entitled kigari kipya Cha serikali au wake entitled kukopeshwa vigari vipya na serikali .Hai huwa Ni wale akina maskini akipata ma Nani hii hulia mbwata!!! Anaiona dunia yoote yake na wengi huwa wale waliezaliwa familia maskini Sana halafu wakafika hizo level za uafisa serikalini .Huwa jeuri na washamba na wajinga jinga fulani hivi .
Wangekuwa sekta binafsi asingeandika hii hoja.Hoja Kama hi inaletwa na malofa wa porini waliopewa vimadaraka serikalini

Ukisoma between the lines unajua kabisa mwandishi anatokea familia maskini Ila kwa Sasa ana ka position koko
Jamaa Nadhan ni ama ana kagari kapya ka number D Sasa anaona kanaenda jusound vibaya ndo maana anapambania karudi

IFIKE HATUA VIONGOZI WATOKE KATIKA LOYALTY FAMILY TU HAWA WATOTO WA MASKIN HAWAFAI HATA KIDOGO AISEE
 
Kibovu vipi wakati hata ukipeleka kwa vehicle inpector traffic anathibitisha kuwa gari Ni nzima? Hata ukipima kwa computer gari inaonekana nzima?

Nchi zinazotengeneza magari au Nchi za viwanda zilizoendelea zinazotegemea viwanda wenye viwanda ndio wanaoimiliki serikali ndio waamuzi wa nini kifanyike kwenye nchi

Kuongeza mauzo ya bidhaa zao Kama magari nk ndio Waka set expiry date ili utake usitake ukanunue lingine pia Ni njia yao ya kuongeza faida mfano Bei halisi ya kutengeneza gari kiwandani aina ya Prado kwao ni milioni mbili.Wanamuuzia mjapani mwenzao milioni tano mfano anatumia Lina expire baada ya miaka mitatu mfano analiuza Tanzania kwa milioni 48.Huyo mjapani mwenyewe atapenda Sana kununua magari , kutumia na kuyauza!!! Maana anakuta anapata faida kwenye huo mchezo.Kiwanda kinapata faida na mjapani wa kawaida anapata faida.Sasa Sisi huku ukinunua Prado lako ukilitumia ukitaka kuliuza Tena kwa faida kupata mnunuzi hata ukitaka kuuza kwa nusu bei hasara kumpata mnunuzi itahitaji ukaombewe na kukanyaga mafuta Kwa Mwamposya sio rahisi kupata mteja.Ndio maana serikali kukuhurumia hawaweki kipindi Cha expiry date ya kigari chako Koko
Bongo hata ununue Prado la 2021 kwa 150M cash money lifike mjini na 10Km kwenye Dashboard ukimtafuta mteja wa million 100 tu hutakaa umuone na gari ni mpya kabisa haina hata week ndani ya Ardhi ya Tanganyika😅

Bongo tuna laana
 
Watanzania hawajafikia kiburi cha kuzingatia expire date kwenye tairi uwaambie gari.

Hujaona tairi chakavu likichongewa mistari ili polisi wasilete usumbufu?

Tushughulike kwanza na boxer, siku ikiwezekana kuvaa boxer mara moja na kuitupa tuhamie kwenye magari tuyawekee expire date
 
Kuna huu ushamba wa baadhi ya Wabongo wanapotaka kununua magari. Jambo la kwanza wanaangalia eti kama gari ni namba D! Kwa mentality yao wanadhani gari lenye namba D inakua nzima na haina matatizo kuliko namba za kabda ya D.

Wengi huwa wanapigwa hapo. Kuna gari namba A imesimama kupita maelezo huku kinyume chake kuna namba D zimeshachoka kabisa

Inawezekana namba D iliwahi kuingia nchini lakini utakuta imetengenezwa the same year na namba A. Jambo kubwa hapa ni utunzaji wa gari

Namba A au B au C utakayonunua kwa Muhindi inaweza ikawa gari nzima na nzuri kuliko namba D utakayonunua kwenye yard
 
Kuna tatizo haujaliona na kuliongelea pia.

Tanzania inasajili magari kiholela sana bila kuangalia model ama toleo la gari ni mwaka lililotengenezwa.

Hata gari liwe limetengenezwa miaka20 nyuma huko, mradi limeingizwa nchini leo, kwao ni jipya kabisa hilo!

Mfano: unakuta RAV4 J imesajiliwa kwa #A, wakati huo huo kuna RAV4 J ina usajili mpya wa #D.
 
Kabla ya hayo hizi baby Walker sijui vitz, ist zipigwe namba kama za boda boda ...ndio zinamaliza herufi halafu hazitofautiani sana na sisi wazee wa boda kwa boda🤣
Asante kwa wazo hili
 
Kuna tatizo haujaliona na kuliongelea pia.

Tanzania inasajili magari kiholela sana bila kuangalia model ama toleo la gari ni mwaka lililotengenezwa.

Hata gari liwe limetengenezwa miaka20 nyuma huko, mradi limeingizwa nchini leo, kwao ni jipya kabisa hilo!

Mfano: unakuta RAV4 J imesajiliwa kwa #A, wakati huo huo kuna RAV4 J ina usajili mpya wa #D.
Ndiyo maana nasema waformat namba A zote
 
Watanzania hawajafikia kiburi cha kuzingatia expire date kwenye tairi uwaambie gari.

Hujaona tairi chakavu likichongewa mistari ili polisi wasilete usumbufu?

Tushughulike kwanza na boxer, siku ikiwezekana kuvaa boxer mara moja na kuitupa tuhamie kwenye magari tuyawekee expire date
Boxer! Mkuu wacha masihara!

Yaani boxer ziwe diposable, zitumike na kutupwa kabla hata ya fuo moja!

Hata matajiri wanaooga maji ya chupa hawawezi chezea rasilimali namna hiyo!
 
Ndiyo maana nasema waformat namba A zote
Kwa mfano niliotoa, wakiformat #A zote lakini kuna virusi vya magari chakavu model za zamani yaliyovikwa #D, je nawe pia unayaona mapya kama waonavyo Tra?

Hilo mbona hauliongelei?
 
Boxer! Mkuu wacha masihara!

Yaani boxer ziwe diposable, zitumike na kutupwa kabla hata ya fuo moja!

Hata matajiri wanaooga maji ya chupa hawawezi chezea rasilimali namna hiyo!
Kwani boxer zina usajili
 
Kwa mfano niliotoa, wakiformat #A zote lakini kuna virusi vya magari chakavu model za zamani yaliyovikwa #D, je nawe pia unayaona mapya kama waonavyo Tra?

Hilo mbona hauliongelei?
Hilo litachukuliwa kama changamoto! Lakini waanze kuformat A kwanza
 
Nimeweka bayana kwenye Uzi kwamba magari yatayobaika namba (A) yatakayobainika kuwa yanafaa ..yawekwe chini ya uangalizi maalium na yapewe plate number nyekundu au special plate mwaka hadi mwaka ili kuyafuatilia (wanaweza kuweka hata miaka miwili miwili then inaexpire)
Hii kali

Sent from my Infinix X692 using JamiiForums mobile app
 
Boxer! Mkuu wacha masihara!

Yaani boxer ziwe diposable, zitumike na kutupwa kabla hata ya fuo moja!

Hata matajiri wanaooga maji ya chupa hawawezi chezea rasilimali namna hiyo!
🤣 nguo ya ndani inatakiwa iwe disposable Saka.. unanunua za miezi sita zikiisha unanunua tena.
 
Back
Top Bottom