FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Tambua kuna gari namba A ni mpya kuliko used za kutoka Japan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mkuu umenichekesha sana, tuna mengi ya kufanyia kazi, sio namba A za magari.Watanzania hawajafikia kiburi cha kuzingatia expire date kwenye tairi uwaambie gari.
Hujaona tairi chakavu likichongewa mistari ili polisi wasilete usumbufu?
Tushughulike kwanza na boxer, siku ikiwezekana kuvaa boxer mara moja na kuitupa tuhamie kwenye magari tuyawekee expire date
Kabisa mkuu.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mkuu umenichekesha sana, tuna mengi ya kufanyia kazi, sio namba A za magari.
Mkuu usajili wa magari si kama kula ndizi na kutupa maganda.Katika utaratibu wa maisha Africa inabidi tujifunze kujiwekea kikomo!
Ili tuendane na ulimwengu lazima tujifunze kubadilika!
Nikimnukuu bwana Newton mwanasayansi msomi aliwahi kusema kwamba (Kila kitu hubaki kilivyo au kwenye mwendo hadi pale nguvu hasi itakapotumika)
Hii inamaanisha kwamba afrika tutaendelea kuwa hivi hivi hadi pale nguvu nyingine itaamua vinginevyo!
Afrika huwa hatuna mda kabisa wa kuzingatia uchakavu (expire date)!
Hatuzingatii uchakavu kuanzia vyakula, mapenzi na vitu vingine yabisi hadi pale tunakumbana na madhara! (Sitachimba sana huku)
Tukirudi kwenye gari na vyombo vya moto!
Huko yanapotengenezwa magari mfano Japan na kwingineko!
Ziko taratibu walizojikwekea kwamba gari ikifikia kiwango flani cha matumizi iondolewe barabarani!
Na ndiyo maana japani ukiwa na hata laki nane unapata gari kari!
Lakini likifika afrika huwa ni Jipya!
Sasa basi, magari yanayoingia inchini husajiliwa na mamlaka ya TRA kwa alphabet kimahesabu ya probability/possibility!
Magari yaliyotumiwa huko inje miaka hiyo, yakafika Tanzania na kusajiliwa namba TZ na baadae kuhamia usajili mpya wa namba (A) hakika yatakuwa yamezeeka sana!
Kama kweli tunajali afya za watu hayo magari yangeondolewa barabari! TRA wasihamie namba E bali waangalie namna ya kuondoa (A) ili waanze upya!
Tunajaza sever za TRA pasipo sababu ya msingi na minamba kibao!
Utafiti unaonesha kama TRA itahamia namba (E) itachukua karibu miaka 8-10 kufikia kujaa!
Rai yangu kwa serikali, kama ilivyofanya kurudia usajili wa laini za simu!
Basi isione tabu kufuta usajili wa magari namba (A)
Serikali ni afadhali ipunguze ushuru wa kuagiza magari Japan lakini ifute usajili wa magari namba (A) ili kubalance life cycle ya magari Tanzania! Iwe (A to D)
Na kwa Yale namba (A) yatayobainika yanaubora wa kiwango cha kubaki, walipie gharama annually na wabadilishwe rangi ya plate number, isomeke namba (A) lakini plate nyekundu (namba maalum)
Mkishindwa hilo, wekeni hata utaratibu wa kila gari kuwa na umri wake wa kutembea!
Nasema hivi kwasababu zipo gari hapa bongo hata akiiona mjapani atakataa kuwa hakuitengeneza yeye!
Yaani gari Kuanzia injini imebadilishwa, gearbox nyingine, kila kitu kimebadilishwa!
Pia Hii inachangia hadi wizi wa spea kuongezeka!
Sioni sababu ya kuhamia namba (E) na kuiacha (A) ikiteketeza dunia kwa uchakavu!
PointKuna gari limetoka Japan namba D ni bovu vibaya sana na limetumika kuliko namba A
Gari ulinunua lina kilomita ngapi?
Gari namba D lina kilomita 170,000 na namba A lina kilomita 165,000
A, B, c or D are just numbers
Ukitaka gari lako liwe na namba A lipia million tano TRA utapata
Nenda TRA lipia Milioni tano watakupa special numbers inayoanzia A
Sent from my INE-LX2 using JamiiForums mobile app
Na nyumba pia zibomolewe na kujengwa nyingineNguo pia Zina expiry date ni musimu mfano msimu wa baridi ukiisha unapoanza msimu wa joto unatakiwa kutupa wewe mleta mada nguo zako vipi?
Njia nyingine kujua hutakiwi kuendelea kuvaa hiyo nguo Ni je umeifua nguo Mara ngapi ukiifua Mara 20 au ina miezi mitano ya kuwa nayo kizungu shelf life hata Kama umeifua Mara 10 tu unatakiwa uitupe ndio maana huweko kitu kinaitwa sale unanunua nguo iliyokaa muda mrefu kwenye shelf wewe mwenzetu vipi? Kanguo tu ka ndani umekafua au uko nako muda gani Sasa? na bado umekakomalia tu
Ukiondoa mitumba asilimia kubwa ya wananchi watatembea uchi
Hizo chache nimesema zitapewa plate number nyekundu kutofautisha usajili wa A njanoKuna gari mpya zina namba A, wanasema ni za wale jamaa.......kwa hiyo namba A isikutie wenge sana maana hata majuu zipo gari za kizamani na zina bei ya juu sana kuliko hizo mpya.
Mimi sidhani kama itakuwa sawa sababu tayari namba ilishatumika kwa mtu mwingine na huwezi jua matumizi ya gari yake yalikuwa ni yapi au kuna nini aliwahi fanya hapo awali. Ndiyo maana TRA wanautaratibu wa namba ambazo hazitumiki tena kuziondoa kabisa katika mfumo.Haiwezekani namba moja ikatumika katika magari mawili hata ukisema uweke pkate number nyekundu bado ni usumbufu na ukizingatia ndugu zetu wenye mavazi meupe barabarani unaweza jikuta umalipa fine kila siku kumbe kosa la mtu mwingine.Katika utaratibu wa maisha Africa inabidi tujifunze kujiwekea kikomo!
Ili tuendane na ulimwengu lazima tujifunze kubadilika!
Nikimnukuu bwana Newton mwanasayansi msomi aliwahi kusema kwamba (Kila kitu hubaki kilivyo au kwenye mwendo hadi pale nguvu hasi itakapotumika)
Hii inamaanisha kwamba afrika tutaendelea kuwa hivi hivi hadi pale nguvu nyingine itaamua vinginevyo!
Afrika huwa hatuna mda kabisa wa kuzingatia uchakavu (expire date)!
Hatuzingatii uchakavu kuanzia vyakula, mapenzi na vitu vingine yabisi hadi pale tunakumbana na madhara! (Sitachimba sana huku)
Tukirudi kwenye gari na vyombo vya moto!
Huko yanapotengenezwa magari mfano Japan na kwingineko!
Ziko taratibu walizojikwekea kwamba gari ikifikia kiwango flani cha matumizi iondolewe barabarani!
Na ndiyo maana japani ukiwa na hata laki nane unapata gari kari!
Lakini likifika afrika huwa ni Jipya!
Sasa basi, magari yanayoingia inchini husajiliwa na mamlaka ya TRA kwa alphabet kimahesabu ya probability/possibility!
Magari yaliyotumiwa huko inje miaka hiyo, yakafika Tanzania na kusajiliwa namba TZ na baadae kuhamia usajili mpya wa namba (A) hakika yatakuwa yamezeeka sana!
Kama kweli tunajali afya za watu hayo magari yangeondolewa barabari! TRA wasihamie namba E bali waangalie namna ya kuondoa (A) ili waanze upya!
Tunajaza sever za TRA pasipo sababu ya msingi na minamba kibao!
Utafiti unaonesha kama TRA itahamia namba (E) itachukua karibu miaka 8-10 kufikia kujaa!
Rai yangu kwa serikali, kama ilivyofanya kurudia usajili wa laini za simu!
Basi isione tabu kufuta usajili wa magari namba (A)
Serikali ni afadhali ipunguze ushuru wa kuagiza magari Japan lakini ifute usajili wa magari namba (A) ili kubalance life cycle ya magari Tanzania! Iwe (A to D)
Na kwa Yale namba (A) yatayobainika yanaubora wa kiwango cha kubaki, walipie gharama annually na wabadilishwe rangi ya plate number, isomeke namba (A) lakini plate nyekundu (namba maalum)
Mkishindwa hilo, wekeni hata utaratibu wa kila gari kuwa na umri wake wa kutembea!
Nasema hivi kwasababu zipo gari hapa bongo hata akiiona mjapani atakataa kuwa hakuitengeneza yeye!
Yaani gari Kuanzia injini imebadilishwa, gearbox nyingine, kila kitu kimebadilishwa!
Pia Hii inachangia hadi wizi wa spea kuongezeka!
Sioni sababu ya kuhamia namba (E) na kuiacha (A) ikiteketeza dunia kwa uchakavu!
Na wewe ungekuwa gari si ungekuwa ulianzia TZA!? Kwa hiyo uuwawe kisa ni wa zamani!?Katika utaratibu wa maisha Africa inabidi tujifunze kujiwekea kikomo!

Ha ha et kigari koko [emoji1][emoji1][emoji1]Kibovu vipi wakati hata ukipeleka kwa vehicle inpector traffic anathibitisha kuwa gari Ni nzima? Hata ukipima kwa computer gari inaonekana nzima?
Nchi zinazotengeneza magari au Nchi za viwanda zilizoendelea zinazotegemea viwanda wenye viwanda ndio wanaoimiliki serikali ndio waamuzi wa nini kifanyike kwenye nchi
Kuongeza mauzo ya bidhaa zao Kama magari nk ndio Waka set expiry date ili utake usitake ukanunue lingine pia Ni njia yao ya kuongeza faida mfano Bei halisi ya kutengeneza gari kiwandani aina ya Prado kwao ni milioni mbili.Wanamuuzia mjapani mwenzao milioni tano mfano anatumia Lina expire baada ya miaka mitatu mfano analiuza Tanzania kwa milioni 48.Huyo mjapani mwenyewe atapenda Sana kununua magari , kutumia na kuyauza!!! Maana anakuta anapata faida kwenye huo mchezo.Kiwanda kinapata faida na mjapani wa kawaida anapata faida.Sasa Sisi huku ukinunua Prado lako ukilitumia ukitaka kuliuza Tena kwa faida kupata mnunuzi hata ukitaka kuuza kwa nusu bei hasara kumpata mnunuzi itahitaji ukaombewe na kukanyaga mafuta Kwa Mwamposya sio rahisi kupata mteja.Ndio maana serikali kukuhurumia hawaweki kipindi Cha expiry date ya kigari chako Koko
Jadili hoja mkuu! Usisubili kulaumu hukushirikishwa baadaeNa wewe ungekuwa gari si ungekuwa ulianzia TZA!? Kwa hiyo uuwawe kisa ni wa zamani!?
Ujuaji mwingi ushamba mbele mkuu ndio laana inapoanzia[emoji16][emoji16]Bongo hata ununue Prado la 2021 kwa 150M cash money lifike mjini na 10Km kwenye Dashboard ukimtafuta mteja wa million 100 tu hutakaa umuone na gari ni mpya kabisa haina hata week ndani ya Ardhi ya Tanganyika[emoji28]
Bongo tuna laana
Mkuu una ka namba A niniWivu tu