Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Kuna magari Reg D, utafikiri yametafunwa na ng'ombe.Nimeweka bayana kwenye Uzi kwamba magari namba (A) yatakayobainika kuwa yanafaa ..yawekwe chini ya uangalizi maalium na yapewe plate number nyekundu au special plate mwaka hadi mwaka ili kuyafuatilia (wanaweza kuweka hata miaka miwili miwili then inaexpire)