Wenye magari namba (A) tuwe waungwana tuyatoe barabarani ili TRA warudi kusajili (A) tena itakapo jaa namba D

Jamaa Nadhan ni ama ana kagari kapya ka number D Sasa anaona kanaenda jusound vibaya ndo maana anapambania karudi

IFIKE HATUA VIONGOZI WATOKE KATIKA LOYALTY FAMILY TU HAWA WATOTO WA MASKIN HAWAFAI HATA KIDOGO AISEE
 
Bongo hata ununue Prado la 2021 kwa 150M cash money lifike mjini na 10Km kwenye Dashboard ukimtafuta mteja wa million 100 tu hutakaa umuone na gari ni mpya kabisa haina hata week ndani ya Ardhi ya Tanganyika😅

Bongo tuna laana
 
Watanzania hawajafikia kiburi cha kuzingatia expire date kwenye tairi uwaambie gari.

Hujaona tairi chakavu likichongewa mistari ili polisi wasilete usumbufu?

Tushughulike kwanza na boxer, siku ikiwezekana kuvaa boxer mara moja na kuitupa tuhamie kwenye magari tuyawekee expire date
 
Kuna huu ushamba wa baadhi ya Wabongo wanapotaka kununua magari. Jambo la kwanza wanaangalia eti kama gari ni namba D! Kwa mentality yao wanadhani gari lenye namba D inakua nzima na haina matatizo kuliko namba za kabda ya D.

Wengi huwa wanapigwa hapo. Kuna gari namba A imesimama kupita maelezo huku kinyume chake kuna namba D zimeshachoka kabisa

Inawezekana namba D iliwahi kuingia nchini lakini utakuta imetengenezwa the same year na namba A. Jambo kubwa hapa ni utunzaji wa gari

Namba A au B au C utakayonunua kwa Muhindi inaweza ikawa gari nzima na nzuri kuliko namba D utakayonunua kwenye yard
 
Kuna tatizo haujaliona na kuliongelea pia.

Tanzania inasajili magari kiholela sana bila kuangalia model ama toleo la gari ni mwaka lililotengenezwa.

Hata gari liwe limetengenezwa miaka20 nyuma huko, mradi limeingizwa nchini leo, kwao ni jipya kabisa hilo!

Mfano: unakuta RAV4 J imesajiliwa kwa #A, wakati huo huo kuna RAV4 J ina usajili mpya wa #D.
 
Kabla ya hayo hizi baby Walker sijui vitz, ist zipigwe namba kama za boda boda ...ndio zinamaliza herufi halafu hazitofautiani sana na sisi wazee wa boda kwa boda🤣
Asante kwa wazo hili
 
Ndiyo maana nasema waformat namba A zote
 
Boxer! Mkuu wacha masihara!

Yaani boxer ziwe diposable, zitumike na kutupwa kabla hata ya fuo moja!

Hata matajiri wanaooga maji ya chupa hawawezi chezea rasilimali namna hiyo!
 
Ndiyo maana nasema waformat namba A zote
Kwa mfano niliotoa, wakiformat #A zote lakini kuna virusi vya magari chakavu model za zamani yaliyovikwa #D, je nawe pia unayaona mapya kama waonavyo Tra?

Hilo mbona hauliongelei?
 
Boxer! Mkuu wacha masihara!

Yaani boxer ziwe diposable, zitumike na kutupwa kabla hata ya fuo moja!

Hata matajiri wanaooga maji ya chupa hawawezi chezea rasilimali namna hiyo!
Kwani boxer zina usajili
 
Kwa mfano niliotoa, wakiformat #A zote lakini kuna virusi vya magari chakavu model za zamani yaliyovikwa #D, je nawe pia unayaona mapya kama waonavyo Tra?

Hilo mbona hauliongelei?
Hilo litachukuliwa kama changamoto! Lakini waanze kuformat A kwanza
 
Hii kali

Sent from my Infinix X692 using JamiiForums mobile app
 
Boxer! Mkuu wacha masihara!

Yaani boxer ziwe diposable, zitumike na kutupwa kabla hata ya fuo moja!

Hata matajiri wanaooga maji ya chupa hawawezi chezea rasilimali namna hiyo!
🤣 nguo ya ndani inatakiwa iwe disposable Saka.. unanunua za miezi sita zikiisha unanunua tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…