Nimeweka bayana kwenye Uzi kwamba magari namba (A) yatakayobainika kuwa yanafaa ..yawekwe chini ya uangalizi maalium na yapewe plate number nyekundu au special plate mwaka hadi mwaka ili kuyafuatilia (wanaweza kuweka hata miaka miwili miwili then inaexpire)