Wenye mawazo bunifu mazuri mnakaribishwa kuyaendeleza mawazo yenu na kupata washirika kutoka ndani na nje ya nchi na uwezekano wa kupata ufadhili

Daaah kuvolunteer ! Mawazo🫢
Ndugu jiboreshe kidogo akili. Hiyo ni taasisi ina section nyingi. Kuna wahasibu hapo, madereva, watu wa IT, wafanya usafi, walinzi, watu wa m&e n.k. unachoshangaa ni nini?
 
Tafadhali changamkia fursa hizi hasa vijana.
 
Sasa mbona unawaambia wale mawazo yao uwasaidie kulinga huoni unawapotosha?
Nilishasema sawa kwako kwasababu naona unafikiri wazo ni kitu kilichopo kichwani tu, ila ujue pia wazo inaweza kumaanisha kitu ambacho kipo bado kwenye initial stages of development (model/prototype). Okay?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…