Wenye mazoea ya kutopokea simu mnakera, si uungwana, mbadilike!

Aisee noma sana mkuu
 
Kabla hujampigia mtu simu hebu jaribu kwanza kutuma ujumbe wa “naweza kukupigia?!” Ffs Kuna muda mtu anapiga simu kwa kitu ambacho angetuma tu ujumbe akaeleweka
 
Kabla hujampigia mtu simu hebu jaribu kwanza kutuma ujumbe wa “naweza kukupigia?!” Ffs Kuna muda mtu anapiga simu kwa kitu ambacho angetuma tu ujumbe akaeleweka
Huo ustaarabu huwa nafanya, ila unakuta mtu hajibu hata sms. Hapo unakuta yeye ndo muhusika wa kutoa clarification. Huku wewe pia unahitajika kutoa majibu kwa watu wengine. Hatujagombana wala kukerana, ila mtu inakuwa tu ni tabia yake ya kutopokea simu na kutojibu message anazopata. Watu wa namna hii wapo wengi. Nimefanya observation kujiridhisha.

Wengi wao unakuta ni tabia walizojijengea. Wengine wanakuwa na stress za maisha, yaani stress za home kwake anazihamishia kazini na kupelekea kuwa na low productivity kazini. Mwingine anakuwa ni mtu anayejifanya kuwa busy kupitiliza. Kuwa busy si kwasababu ya majukumu ila ukichunguza ni vile ana poor planning kwenye majukumu yake.
 
90% ya simu zangu nazopigiwa ni za matatizo.
Yan kila simu inapoita lazima tumbo liungurume na moyo upige pah!!!!!
Lazima niwazee kabla sijapokea simu,ila lazima nipokee tu
Nishazoea hiz rabsha rabsha za simu ngumu!!.
Ila kuzima ndio siwezi.
Inaweza ita mara ya kwanza nikaiacha mpakanikate kama sijajipanga kuipokea ila kupokea simu mimi ni given
 
Mwenye tabia hiyo mfanyieni maandamano afukuzwe kazi, ni mzembe huyo.
 
Comments za wanajamiiforums bhana

Unaweza kusema wote wa kishua na wana michongo ya maana ..

Kumbe apeche lolo ..

Ninaenda na mwaka zaidi ya kumi sipokeagi simu ya mtu ,

Ukipiga naiangalia iite , ikikata mimi ndo nakupigia

Nataka niwe comfortable na maongezi .
 
Sipendi mtu anipigie simu sipendi mtu anitumie meseji kwa ufupi sipendi kujibu meseji au kupokea simu. Sikipendi hiki kifaa kinachoitwa simu, isingekua kazi na familia nisingetumia simu!
Bado uko zama za ujima
 
Kumbe huwa mnafanya maksudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…