Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
NAKAZIAWala haturingi, wala hatujisikii..inatokea tu!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NAKAZIAWala haturingi, wala hatujisikii..inatokea tu!!
Simu zinaweza kuleta mtafaruku mkubwa sana hususan kwenye mahusiano.Ni kweli kuwa simu ni yako, ila unapokuwa kazini na umeandikisha namba yako kuwa ndio itumike kwa mawasilaino si busara kutopokea simu na huna sababu ya msingi ya kutopokea.
Hata mimi huwa sipokei kila wakati, inategemea na majukumu niliyonayo. Ila inapokwa muda wa kazi huwa nayapa kipaumbele mawasiliano yanayohusu kazi. Hivyo mtu yeyote anaponipigia muda wa kazi na nikajua ni mtu ninayehusiana nae kwa ajili ya kazi huwa nampa kipaumbele. Vilevile napokuwa nje ya kazi, huwa nayapa kipaumbele mawasilaino yanayohusu masuala ya kifamilia.
Sasa unakuta mtu anafahamu kabisa yeye anahitajika kutoa ufafanuzi wa mambo mbalimbali ya kila siku juu ya majukumu ya kikazi. Ila akipigiwa simu kila siku haipokelewi. Hii si nzuri na watu wa namna hii mbadilike. Si ustaarabu na uungwana kabisa.
Au mnataka na sisi tuanze utamaduni wa kupeana appointment kwenye kupigiana simu? Kama tumefikia levels hizi kama ilivyo nchi za wenzetu basi weka wazi tuwe tunapeana appointment. Ila siyo kupigiwa kisha unaiangalia tu simu na kupuuza.
Nimemaliza uzi tayari.
Tafutq helaaa mkuuu wanapokeaa fastaaa hela sabuni ya rohoNi kweli kuwa simu ni yako, ila unapokuwa kazini na umeandikisha namba yako kuwa ndio itumike kwa mawasilaino si busara kutopokea simu na huna sababu ya msingi ya kutopokea.
Hata mimi huwa sipokei kila wakati, inategemea na majukumu niliyonayo. Ila inapokwa muda wa kazi huwa nayapa kipaumbele mawasiliano yanayohusu kazi. Hivyo mtu yeyote anaponipigia muda wa kazi na nikajua ni mtu ninayehusiana nae kwa ajili ya kazi huwa nampa kipaumbele. Vilevile napokuwa nje ya kazi, huwa nayapa kipaumbele mawasilaino yanayohusu masuala ya kifamilia.
Sasa unakuta mtu anafahamu kabisa yeye anahitajika kutoa ufafanuzi wa mambo mbalimbali ya kila siku juu ya majukumu ya kikazi. Ila akipigiwa simu kila siku haipokelewi. Hii si nzuri na watu wa namna hii mbadilike. Si ustaarabu na uungwana kabisa.
Au mnataka na sisi tuanze utamaduni wa kupeana appointment kwenye kupigiana simu? Kama tumefikia levels hizi kama ilivyo nchi za wenzetu basi weka wazi tuwe tunapeana appointment. Ila siyo kupigiwa kisha unaiangalia tu simu na kupuuza.
Nimemaliza uzi tayari.
Bora aizime kabisa, Mimi nikiwa sitaki kusikia habari za kazini nazima laini inayojulikana,nawasha Airtel yangu inajulikana na Wana familia WA karibu Tu!
Kuna wale ukipiga anajikausha mpaka ww uanze kusema hallow wanakera kinoma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unapiga piga simu kipuuzi halafu hamna cha maana unachosema. View attachment 3040334
Mkuu tutakutana J3 kazini. Acha mazoea ya kutopooea simu zetu. Kwenye kikao cha J3 asbh nitazungumzia tena hili suala. Teh! TehDaah samahani mkuu, hii week nimekua busy na shemeji yako hivyo kazini sikwenda kabisa. Ni bora ungenitumia meseji kuliko kuja kunifungulia uzi huku. Tutakutana kazini nitakunyoosha utarudi hapa kutoa ushuhuda.
Simu yangu halafu unipangie ushikaji wake?Aaaaargh...ubeberu huu!Ni kweli kuwa simu ni yako, ila unapokuwa kazini na umeandikisha namba yako kuwa ndio itumike kwa mawasilaino si busara kutopokea simu na huna sababu ya msingi ya kutopokea.
Hata mimi huwa sipokei kila wakati, inategemea na majukumu niliyonayo. Ila inapokwa muda wa kazi huwa nayapa kipaumbele mawasiliano yanayohusu kazi. Hivyo mtu yeyote anaponipigia muda wa kazi na nikajua ni mtu ninayehusiana nae kwa ajili ya kazi huwa nampa kipaumbele. Vilevile napokuwa nje ya kazi, huwa nayapa kipaumbele mawasilaino yanayohusu masuala ya kifamilia.
Sasa unakuta mtu anafahamu kabisa yeye anahitajika kutoa ufafanuzi wa mambo mbalimbali ya kila siku juu ya majukumu ya kikazi. Ila akipigiwa simu kila siku haipokelewi. Hii si nzuri na watu wa namna hii mbadilike. Si ustaarabu na uungwana kabisa.
Au mnataka na sisi tuanze utamaduni wa kupeana appointment kwenye kupigiana simu? Kama tumefikia levels hizi kama ilivyo nchi za wenzetu basi weka wazi tuwe tunapeana appointment. Ila siyo kupigiwa kisha unaiangalia tu simu na kupuuza.
Nimemaliza uzi tayari.
Sawa mkuu usifute ushahidi🤣Te
Mkuu tutakutana J3 kazini. Acha mazoea ya kutopooea simu zetu. Kwenye kikao cha J3 asbh nitazungumzia tena hili suala. Teh! Teh
Imeisha hiyo,utaikuta PMNaomba hiyo ya Airtel maana ile mara nyingi sikupati kabisa.
Ikiwa hutaki disturbance, why not switch it off?Usipopokelewa tuma msg.....
Sio mfanyabiashara, ila kuna muda huwa sijisikii kuongea na simu yoyoteee mtu anaweza piga naicheki tu sijisikii kuongea sijui ndo tabia gani
Napenda kuwa online nachat whatsapp, kipitia pitia jf na pinterest baaaas......ila sio kupigiwa simu, nakua sijisikii kuongea na simu.Ikiwa hutaki disturbance, why not switch it off?
Mimi hili halinisumbui. Kama sitaki kupigiwa simu au kupokea sms, nazima kabisa kisimu changu kidogo kisha naingia online (through smart phone) kwa kutumia line yangu ya Halotel (M2M DATA ONLY, special sim card - 300020xxxxxx); hakuna cha calls, wala sms. Calls na sms nitaziona baadaye nitakapokuwa nimemaliza issues zangu.Napenda kuwa online nachat whatsapp, kipitia pitia jf na pinterest baaaas......ila sio kupigiwa simu, nakua sijisikii kuongea na simu.
Kuna muda huwa natamani kungekua na option ya kuwa off watu wanikose ila mtandaoni niwepo 😃Mimi hili halinisumbui. Kama sitaki kupigiwa simu au kupokea sms, nazima kabisa kisimu changu kidogo kisha naingia online (through smart phone) kwa kutumia line yangu ya Halotel (M2M DATA ONLY, special sim card - 300020xxxxxx); hakuna cha calls, wala sms. Calls na sms nitaziona baadaye nitakapokuwa nimemaliza issues zangu.